Ukipata mtu Ali ye soma B.Sc Animal Science sua atakusaidia ZaidiTuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika.
Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha
Pm
au email; godfreycyp@yahoo.com
Sio kweli ,wewe umeongelea hivo Kwa ishu ya kujua animal nutrition,na hivo hata watu wa animal health and production ,Veterinary laboratory technology na hata biotechnology huwa wanasoma hio animal nutrition ,halafu kujua animal nutrition sio tiketi ya kuonekana kama kazi mtu ataiweza,Kwa sababu chakula kikitoka kwenye production kabla hakijaenda kwenye market lazima kifanyiwe quality assurance Kwa ajili ya kucheki ubora pamoja na usalama wake,so hapo lazima laboratory tests zifanyike kulingana na aina ya chakula,so unadhani hao watu wa animal science hizo laboratory test wanazijulia wapi maana hata kama kusoma wanasoma Kwa uchache sanaUkipata mtu Ali ye soma B.Sc Animal Science sua atakusaidia Zaidi
Kwanza nikupongeze Kwa hatua kubwa unayotegemea kupiga,Cha kushauri kama ndo kwanza unaanza usitake kuingia gharama ya kutafuta sijui mtaalamu wenye ujuzi na uzoefu Kwa sababu ni ngumu kumpata na vile vile unaweza ukampata lakini usidumu nae Kwa muda mrefu,unajua Kwa nini ,ni Kwa sababu viwanda vingi vidogo vinakuwaga havina good working environment Kwa ajili ya shughuli za kitaalamu namaanisha quality assurance Kwa kukosekana vitu kama feed glinder,nir feed analyzer,hot air oven,analytical balance n.kTuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika.
Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha
Pm
au email; godfreycyp@yahoo.com
Haya umejionea au kuna mtu amekusimulia? Animal science wanaijua sana hiyo proximate analysisSio kweli ,wewe umeongelea hivo Kwa ishu ya kujua animal nutrition,na hivo hata watu wa animal health and production ,Veterinary laboratory technology na hata biotechnology huwa wanasoma hio animal nutrition ,halafu kujua animal nutrition sio tiketi ya kuonekana kama kazi mtu ataiweza,Kwa sababu chakula kikitoka kwenye production kabla hakijaenda kwenye market lazima kifanyiwe quality assurance Kwa ajili ya kucheki ubora pamoja na usalama wake,so hapo lazima laboratory tests zifanyike kulingana na aina ya chakula,so unadhani hao watu wa animal science hizo laboratory test wanazijulia wapi maana hata kama kusoma wanasoma Kwa uchache sana
Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika.
Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha
Pm
au email; godfreycyp@yahoo.com
Boss unazungumzia anima science ipi...kama ni hii ya SUA basi watakuwa wanafeli mahali. Yani graduate wa animal science ashindwe Kufanya proximate analysis ya chakula...ashindwe Kufanya formulation ya chakula...ashindwe Kufanya quality analysis..ashindwe Kufanya research za formula mbalimbali za vyakula... seriously...mbona unawakosea heshima hawa watu...course Yao sehem kubwa nadhan inahusu management na nutrition ya wanyamaSio kweli ,wewe umeongelea hivo Kwa ishu ya kujua animal nutrition,na hivo hata watu wa animal health and production ,Veterinary laboratory technology na hata biotechnology huwa wanasoma hio animal nutrition ,halafu kujua animal nutrition sio tiketi ya kuonekana kama kazi mtu ataiweza,Kwa sababu chakula kikitoka kwenye production kabla hakijaenda kwenye market lazima kifanyiwe quality assurance Kwa ajili ya kucheki ubora pamoja na usalama wake,so hapo lazima laboratory tests zifanyike kulingana na aina ya chakula,so unadhani hao watu wa animal science hizo laboratory test wanazijulia wapi maana hata kama kusoma wanasoma Kwa uchache sana
Animal nutrition anayosoma mtu wa Animal Science sidhan kama ni sawa kwa details kama anayosoma mtu wa VetMed, agriculture general..animal health au biotechnology....hata animal science wanasoma physiology.. anatomy.. clinical pathology na hata entomology..lakini huwezi kuwalinganisha na VetMed kwenye hizo field...na ndo utofauti uliopo kati Yao ..kila mmoja Kuna sehemu anaimudu...ANS ni manager and Vet ni daktar..habar ya Feed processing, analysis,and formulation ni field ya ANS..kumpa mtu wa Lab. Technology au VetMed ni kulazimishaSio kweli ,wewe umeongelea hivo Kwa ishu ya kujua animal nutrition,na hivo hata watu wa animal health and production ,Veterinary laboratory technology na hata biotechnology huwa wanasoma hio animal nutrition ,halafu kujua animal nutrition sio tiketi ya kuonekana kama kazi mtu ataiweza,Kwa sababu chakula kikitoka kwenye production kabla hakijaenda kwenye market lazima kifanyiwe quality assurance Kwa ajili ya kucheki ubora pamoja na usalama wake,so hapo lazima laboratory tests zifanyike kulingana na aina ya chakula,so unadhani hao watu wa animal science hizo laboratory test wanazijulia wapi maana hata kama kusoma wanasoma Kwa uchache sana
Nashukuru Kwa mchango wako mkuu, kwanza kabisa hao watu wa Veterinary medicine na agricultural general waondoe mimi sijawataja kabisa hapo juu,vile vile hata hao watu wa laboratory technology,bali Mimi niliwataja watu wa animal health and production, Veterinary laboratory technology pamoja na wa biotechnology,kwanza kabisa kuhusu animal science kusoma clinical pathology si kweli ,vile vile jambo nililogusia ambalo hao ndugu zetu wa animal science huwa wanafeli sana ni swala la analysis ambalo huwa linahusisha laboratory tests ambalo pia watu wa Veterinary laboratory technology na biotechnology ndo huwa wamebobea sanaAnimal nutrition anayosoma mtu wa Animal Science sidhan kama ni sawa kwa details kama anayosoma mtu wa VetMed, agriculture general..animal health au biotechnology....hata animal science wanasoma physiology.. anatomy.. clinical pathology na hata entomology..lakini huwezi kuwalinganisha na VetMed kwenye hizo field...na ndo utofauti uliopo kati Yao ..kila mmoja Kuna sehemu anaimudu...ANS ni manager and Vet ni daktar..habar ya Feed processing, analysis,and formulation ni field ya ANS..kumpa mtu wa Lab. Technology au VetMed ni kulazimisha
Mkuu sijajua ila inawezekana unaweka self interest...nilishare baadhi ya course work na watu wa Animal science na hata huku field tupo nao..hata ukifungua module ya coz yao kwenye prospectus ya SUA wanasoma kitu kunaitwa animal diseases and management (pathology) japo haipo in details na ndo ilikuwa point yangu...nilitaka kukuelekeza tu kuwa animal nutrition anayosoma mtu wa VetMed au vet. Lab technology haipo in details kama anayosoma mtu wa Animal science.Nashukuru Kwa mchango wako mkuu, kwanza kabisa hao watu wa Veterinary medicine na agricultural general waondoe mimi sijawataja kabisa hapo juu,vile vile hata hao watu wa laboratory technology,bali Mimi niliwataja watu wa animal health and production, Veterinary laboratory technology pamoja na wa biotechnology,kwanza kabisa kuhusu animal science kusoma clinical pathology si kweli
Kuna ndugu hapo juu kagusia habari ya gharama na upatkanaji wa vifaa vya Kufanyia analysis...hii ni mpaka vyuoni...lakini kusema animal science hawajui Kufanya proximate analysis ya vyakula sio kweli (hii ni basic lab. Procedure ambayo kila animal science lazima aijue ukitoa ukilaza binafsi)....,vile vile jambo nililogusia ambalo hao ndugu zetu wa animal science huwa wanafeli sana ni swala la analysis
ambalo huwa linahusisha laboratory tests ambalo pia watu wa Veterinary laboratory technology na biotechnology ndo huwa wamebobea sana
Mtoa tangazo kasema anatafuta mtaalam wa kutengeneza chakula Cha mifugo (animal feed formulator)Halafu sijataja mahali popote kuhusu swala la watu wa veterinary medicine na laboratory technology kwamba eti ndo wapewe kiupambele kuliko watu wa animal science na vile vile hivi unajua kama kwenye viwanda vingine vya vyakula vya mifugo kwamba kuna watu hadi wa chemist.
Acha kuassume mkuu ,Sasa niweke self interest Ili iweje,halafu kikawaida pathology inahusisha diagnosis,treatment and control of specific diseaseMkuu sijajua ila inawezekana unaweka self interest...nilishare baadhi ya course work na watu wa Animal science na hata huku field tupo nao..hata ukifungua module ya coz yao kwenye prospectus ya SUA wanasoma kitu kunaitwa animal diseases and management (pathology) japo haipo in details na ndo ilikuwa point yangu...nilitaka kukuelekeza tu kuwa animal nutrition anayosoma mtu wa VetMed au vet. Lab technology haipo in details kama anayosoma mtu wa Animal science.
Hakuna degree ya animal health and production kwa nchi yetu....halafu watu wa vet. Lab technology, biotechnology na lab technology kimajukumu wote wanaingiliana ndo maana niliwataja...
Huyo mtu unayesema kagusia kuhusu habari ya gharama na upatikanaji wa vifaa vya kufanya analysis,ni Mimi hebu angalia comments za juu Kwa ajili ya kupata uhakikaKuna ndugu hapo juu kagusia habari ya gharama na upatkanaji wa vifaa vya Kufanyia analysis...hii ni mpaka vyuoni...lakini kusema animal science hawajui Kufanya proximate analysis ya vyakula sio kweli (hii ni basic lab. Procedure ambayo kila animal science lazima aijue ukitoa ukilaza binafsi)....
Kiprotocol huwezi kuanzisha kiwanda chochote cha production ya product husika pasipo kuwa na formula ya kutengenezea hiyo product,ndo maana kwenye manufacturing industry yoyote kwenye sehemu ya production Kuna kuwaga si pagumu Kwa maana kazi inafanyika Kwa mazoea tofauti na sehemu ya kucheki quality ya product after production ,ndo maana si ajabu kukuta ata mtu wa darasa la saba anajua jinsi ya kufanya feed formulation.Mtoa tangazo kasema anatafuta mtaalam wa kutengeneza chakula Cha mifugo (animal feed formulator)
na sio feed analyst Wala chemist...nadhan unatoka nje ya maada...mtu wa vet lab technology au animal health anatakiwa apokee maelekezo kutoka kwa mtu wa Animal nutrition kuwa nn kifanyike..na sijasema vet lab hahitajiki...