makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
- Thread starter
- #21
Mkuranga tu hapo, unaingia ndani hivi kilometa kadhaa.Bwana Tupac, tuanze kwanza hilo eneo minazi ilipo, je ni lindi au ni upande gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuranga tu hapo, unaingia ndani hivi kilometa kadhaa.Bwana Tupac, tuanze kwanza hilo eneo minazi ilipo, je ni lindi au ni upande gani?
Dah.. Kumamake walai, unakasirika mwishowe unajikuta umecheka.🤣 Chonga mifagio mkuu Nazi zishapata wenye nazo au kuti hazianguki ??
😂 😂 😂Ila aibu sana na kujiendekeza wizi.Kwa mfano,unanikuta pale nakuibia nazi halafu nina "kishkwambi" changu kina app ya JF!Kesho yake tangazo kubwa:
BABA BHOKE MWIZI WA NAZI NA MADAFU.
😂😂😂😂😂😂
hahahaha🤣 Chonga mifagio mkuu Nazi zishapata wenye nazo au kuti hazianguki ??
Hapo mjomba ni kuwaumiza kisaikolojia kwanza. Nenda kwa mwenyekiti na balozi uwachane kbsa kua umechoka kuibiwa kwaio unatoa tangazo wawaambie wananchi kua atakaeiba kitachomkuta hataamini. Tena wapige biti kua unatokea kigoma na unaenda kuleta niaje niaje. Kisha kanunue mtungi kama ule wa kuekea maji, ule mkubwa kbsa, ndani upake petroli au mafta ya taaa.Mkuranga tu hapo, unaingia ndani hivi kilometa kadhaa.
Huyo ndio anakuibiaYupo mtu huko, ika haijawa solution.
Fuga Mbwa au kama kuna uwezo funga cctv camera.Mzee kuna nyumba kabisa, kuna mtu yupo, nami huwa nalala huko wakati mwingine, lengo haswa nihamie huko moja kwa moja nikimaliza michakato fulani town, ila bado haijawa solution.
Wanaibiwa wenyeji wa huko, unalala ndani mtu anaiba nje.
Waduwanzi wanakuja usiku wanapanda na viroba huko au kamba wanakata kole zima wanashusha kwa kamba, husikii chochote.
Dah!! 😂 Shukrani kwa ushauri.Hapo mjomba ni kuwaumiza kisaikolojia kwanza. Nenda kwa mwenyekiti na balozi uwachane kbsa kua umechoka kuibiwa kwaio unatoa tangazo wawaambie wananchi kua atakaeiba kitachomkuta hataamini. Tena wapige biti kua unatokea kigoma na unaenda kuleta niaje niaje. Kisha kanunue mtungi kama ule wa kuekea maji, ule mkubwa kbsa, ndani upake petroli au mafta ya taaa.
Then nenda nao, hakikisha siku ya presentation kuna watu. Ukifika chimba mashimo hata manne kwenye kila pembe ya shamba, au ka n kubwa sana tengeneza hata kaeneo kenye ukubwa wa nusu uwanja. Hayo mashimo jaza maji wakiwa wanaona.
Ukimaliza hapo chukua mtungi, weka katikati ya hilo eneo, kisha chukua hata nazi moja vunjia mule ndani, kisha weka yale majani ya mnazi humo ndani. Ukimaliza washa kiberiti humo ndani moto uwake wauone unatokea humo ndani ya mtungi.
After that sepa zako. Tena sepa ukiwa umetahadharisha kbsa kua atakaeiba asikutafte kwa msamaha wala chochote, atajua mwenyewe yatakayomkuta.
Angalizo:
1. Hapo hakuna uchawi wala nini, ni saikolojia tu maana watu wa pwani wanaogopa na kupenda sana ushirikina lakini hua wanaogopa watu wa bara hasahasa waha, wasukuma na wakerewe (wanAamini wakerewe hua wanabeba watu na mamba, na wasukuna wanawachukua watu msukule).
2. Lazma watajarb kutest mitambo hasahasa kishirikina, kama unaamini uchawi mayb watakupiga vata, sina uhakika maana mi siamini uchawi
3. Inaeza kufeli wakaendelea kuiba zaidi lakn wengi wao wataogopa.
Fuga Mbwa au kama kuna uwezo funga cctv camera.
Shukrani mzee, suala la mbwa nishalifikiria.. Ila sijaanza kukaa rasmi na jinsi shamba lilivyo nashindwa kujua mbwa nitamcontrol vipi, kwa jinsi shamba lilivyo, nashindwa kuelezea labda nijaribu kuchora utanipa mawazo.Fuga Mbwa au kama kuna uwezo funga cctv camera.
Siwezi kumuwekea imani 100%, ila wale waduwanzi wanaiba, mie nishawahi kuwepi na wakaiba, mpaka mashamba ya watu wengine yanaibiwa, sasa yule mgeni uMAMBA huo wa kuiba mashamba ya watu kaupatia wapi, msukuma wa watu hata mnazi hajui kuupanda. 😂Huyo ndio anakuibia
Sijafanikiwa kwa lolote mzee, ndio lishakuwa shamba la babu, wanajichukulia tu nazi zao.Leta rejesho tujue tunaanzia wapi makamanda wa vita