Anahitajika Mtu kufanya kazi ya wakala

It's not about uthubutu, n ww mwnyw ulikuwa unakwenda kurisk biashara yako.

Mtu anayekuja kufanya hy kazi kwa mshahara wa 80k n yule ambaye ameshakata tamaa na hana namna nyingine ya kuishi.

Mtu akutunzie Zaid ya 10M cash afu umlipe 80k + sehemu ambayo anaweza kuondoka anytime, this is madness bro

Ww kwa upeo wako utaona n uthubutu mana hujui risk ya unachokwenda kukikuza
 
sawa.. siku ukiibiwa ulete mrejesho mkuu wangu......
 
Watu wa jf dharau asilimia elf moja
Humu sio pa kutafuta kitu, humu piga tu zogo mkuu
Nadhani ishu sio dharau, mtu unapaswa kumlipa mtu kutokana na risk ambayo unaiona kwa mwajiriwa wako.

Mfano huyo mtu akikimbia na 30M za jamaa, huyu mtoa mada atafanya nini?
Unadhani mwajiriwa atakuwa na la kupoteza akisepa na hizo pesa?
 
Nadhani ishu sio dharau, mtu unapaswa kumlipa mtu kutokana na risk ambayo unaiona kwa mwajiriwa wako.

Mfano huyo mtu akikimbia na 30M za jamaa, huyu mtoa mada atafanya nini?
Unadhani mwajiriwa atakuwa na la kupoteza akisepa na hizo pesa?
Hiyo biashara unajua ana mtaji kiasi gani? Unajua ina mzunguko kiasi gani na ipo wapi? Unajua kama ni mpya au ya zamani?

Mfano mtu anazungusha milion 1 tu, kamisheni anapata labda 150,000 kwa mwezi, hapo anatakiwa alipe mshahara, kodi, leseni na takataka unazozijua zote.

Huyo mfanyakazi alipwe laki ngapi sasa according to mawazo ya ki jf?
 
Mfano mm ndo mwajiriwa hapo, nasepa na hiyo 1m, unadhani nitakuwa na la kupoteza?
Then unajua hali ntakayomuacha nayo mwajiri?
 
Mkuu,kama kuna mtu analeta dhihaka anasema sh 80,000 ni ndogo kuna mwingine hiyo hela anaitamani pengine anapata ndogo zaidi ya hiyo au hana kibarua chochote
 
Moise jiograf naomba kazi babanguuuu
 
Sema wakala baada ya tozo kamishen zina kata km huna mzunguko wa pesa wa kutosha aseeh

Na wateja wanavyopenda lipa namba sasa,,

Kwangu nilisha wastopisha
 
Halafu ukiibiwa ulalamike?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ kweli kazi na utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…