Kama una fani ama una jamaa yeyote mwenye fani ya ualimu katika masomo ya B.Maths&Physics(A-Level) basi tuwasiliane ama kwa kunipm ama katika simu no 0717522175
Maelezo mafupi ya kazi ni kama ifuatavyo;
Awe na uzoefu atleast wa miaka 5 ama kidogo mtu mzima,sehemu ya kufanyia kazi ni Bukoba,Kagera
Kama uko katika nafasi ya kuhitaji basi tuwasiliane haraka iwezekanavyo