Anahitajika mwalimu wa masomo haya

Anahitajika mwalimu wa masomo haya

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Kama una fani ama una jamaa yeyote mwenye fani ya ualimu katika masomo ya B.Maths&Physics(A-Level) basi tuwasiliane ama kwa kunipm ama katika simu no 0717522175

Maelezo mafupi ya kazi ni kama ifuatavyo;
Awe na uzoefu atleast wa miaka 5 ama kidogo mtu mzima,sehemu ya kufanyia kazi ni Bukoba,Kagera

Kama uko katika nafasi ya kuhitaji basi tuwasiliane haraka iwezekanavyo
 
duh naona kama jamaa ninao wafaham wengi wako dar es salaam so i think kutoka uku mpaka kagera is a bit tyte
 
Back
Top Bottom