Anahitajika mwanamke

Anahitajika mwanamke

Sinewy

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
367
Reaction score
170
Mimi ni mwanaume miaka 23 ,Nasoma ardhi university nahitaji mpenzi aliyeseriouz ani pm asiwe zaidi ya 23yrs
 
23!!! mbona umri wako bado mdogo sana,cha muhimu kwasasa zingatia shule kwanza. Haya mambo ya mapenzi yapo tu tena hadi yatakuchosha.
 
Back
Top Bottom