Anahitajika paka mdogo ofa 35,000 nipo Dar es Salaam

Sema huku kijiji tunaombana majirani akizaa unaenda omba katoto bure,
Dar hadi paka mnauziana😅
 
Paka wa kufuga anahitajika awe mdogo kabisa ambae hana mazingira ya kumuogopa mtu ili nianze kumfuga awe mzuri , mimi nipo kigamboni ofa yangu ni 30,000, na 5000 ya nauli

Awe paka msafi mdogo kabisa na mzuri nianze kumfuga furaha yangu ni paka sometime wanapunguza stress

0678096545
Huyu hapa, 100,000Tsh
 
Attachments

  • IMG_20240511_213220_488.jpg
    IMG_20240511_213220_488.jpg
    6 MB · Views: 7
Paka wa kufuga anahitajika awe mdogo kabisa ambae hana mazingira ya kumuogopa mtu ili nianze kumfuga awe mzuri , mimi nipo kigamboni ofa yangu ni 30,000, na 5000 ya nauli

Awe paka msafi mdogo kabisa na mzuri nianze kumfuga furaha yangu ni paka sometime wanapunguza stress

0678096545
Njoo inbox
 
Back
Top Bottom