Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nadhani Lipo Tatizo kubwa sana kwenye hii cheque [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1. Iyo cheque inakua authorize kwa signature upande wa kushoto [emoji15] lakin kwakua anaitoa mfuko wa kushoto kuingza mfuko wa kulia ndio maana labda na hakutakiwa kuweka media basi[emoji1787]
2. Maturity date ya cheque haionyesh inaingia lini kwenye account ipi.
3. Bank name hakuna hata kama ni sample cheque
SIMBA bana [emoji1787]