Hatudili na upuuzi sisi sio kama mambumbumbu wa Yanga ambao mnaambiw majibu ya Morrison tar 24 halafu badala ya kuletewa majibu mnaletewa Manara alokuwa anawatukana kila aina ya Tusi, hayo maswali angeuliza wakati yupo kwa mumewe aliyemtoa bikra (SIMBA SPORTS CLUB) siyo baada ya kutalikiwa na kwenda kwa bwana mwingine ndo anajifanya kuuliza, we can't argue with such kind of stupidity na hata kuandika hivi tupu nimeheshimu uwezo wako mdogo nikaona kutoe tongotongo and by the way is he there for SIMBA or YANGA?..if Yanga bas astik kwenye kuizungumzia club yake mpya and not US, by the way list ya vilabu 40 bora Africa imetoka Go n Check.