Anahoji Msemaji wa Simba wa zamani Haji Manara

Hiyo siyo cheque ni ceremonial, siyo cheque halisi.
Mimi Yanga ila Haji huwa anajiona anajua sana wakati kwa kweli hizi clubs siyo caliber yake.
Angebaki hukohuko na kina AJIB.
Wapi huko mkuu.. kule walishaona sio tena mahali sahihi kwa kazi zake ndiyo maana wakamtupia virago.
 
Yanga imekuwa ya 56 kwa ubora Africa wakati Simba ni 14 kwa ubora Afrika. Afrika mashariki ni 1 yanga ni 4. Endelea kuchungulia signature itakupandisha viwango vya ubora huku kuna michezo ya hisani inakungojea. Achana na mabingwa ndugu utapotea jumla.
 
Bro samahani lakini, hebu jaribu kuangalia vineno vya kiingreza ulivyoweka kwenye hii comment Grammer imekaaje. Otherwise andika kiswahili tu utaeleweka.
 
Manara anazidi kunyea kambi...
 
Haji hakufukuzwa Simba, Yeye ndie aliye ikataa Simba baada ya kugundua demu wa Mudi ana nguvu kuliko nguvu ya wanachama.
 
Bro samahani lakini, hebu jaribu kuangalia vineno vya kiingreza ulivyoweka kwenye hii comment Grammer imekaaje. Otherwise andika kiswahili tu utaeleweka.

Sasa mbona wewe mwenyewe unachanganya lugha mbili,umeshindwa nini kuandika Kiswahili mwanzo mwisho! Au ndiyo yale ya Nyani haoni .....
 
Haji hakufukuzwa Simba, Yeye ndie aliye ikataa Simba baada ya kugundua demu wa Mudi ana nguvu kuliko nguvu ya wanachama.
Nguvu ya kuikataa SIMBA anaitoa wapi?...haji kaleta wivu wa mapenzi kwa babra alitaka yeye ndo akalie mshedede wa Mudi kama alivyokalia wa mzee Tozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…