Mshimba1971
Member
- Dec 13, 2021
- 75
- 67
Muuaji kwa siku 5000 wkti huo kifua kinamnyemeleaANAITAJIKA MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI MWENYE UZOEFU MZURI, KWAAJIRI YA BIASHARA BUNJU B. MARIPO NI TZS 5,000 KWA SIKU NA BONUS YA KILA MWEZI KUTOKANA NA MAUZO NA UBORA WA KAZI. KAMA UKO SAFI NA UZOEFU NITUMIE NAMBA YAKO DM.
Duh... huo mshahara ndio wanapewa wanaoosha sahani na kupeleka msosi kwa wateja.ANAITAJIKA MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI MWENYE UZOEFU MZURI, KWAAJIRI YA BIASHARA BUNJU B. MARIPO NI TZS 5,000 KWA SIKU NA BONUS YA KILA MWEZI KUTOKANA NA MAUZO NA UBORA WA KAZI. KAMA UKO SAFI NA UZOEFU NITUMIE NAMBA YAKO DM.
Kwako ndogo kwa sababu unayo mkuu, 5000 ni kuchoma mbuzi mmoja na kwa siku tunachoma zaidi ya 6, ni hela ndogo hiyo?Muuaji kwa siku 5000 wkti huo kifua kinamnyemelea
Kwako ndogo kwa sababu unayo mkuu, 5000 ni kuchoma mbuzi mmoja na kwa siku tunachoma zaidi ya 6, ni hela ndogo hiyo?
Kwako ndogo kwa sababu unayo mkuu, 5000 ni kuchoma mbuzi mmoja na kwa siku tunachoma zaidi ya 6, ni hela ndogo hiyo?
Mpiji ipi[emoji1787][emoji1787]machimbo,chama??muuza chipsi , na kuchoma nyama tsh 6500 kwa siku , MPIJI MAJOHE
Niunganishe nae tuongee. kifupi mshahara huwa hauongelewi mitandano, ni makubaliano to hela niliyosema ni guideline tu.Mmh pesandogo aiseeh ninae mchomaji mzuri sana ila kwa pesa hiyo mashaka hawezi kubali..
Yaani huyo angekuchomea siku moja tu siku ya pili ungejaza bar nakuapia ni kibokoooo
Naona umebadili story. Ulisema malipo ni 5000 kwa siku sasa hivi unasema 5000 kwa mbuzi mmoja? Tukuelewaje?Kwako ndogo kwa sababu unayo mkuu, 5000 ni kuchoma mbuzi mmoja na kwa siku tunachoma zaidi ya 6, ni hela ndogo hiyo?
Ukweli mtupu kiongoziIla wabongo Kwa ujuaji asee. Mwenye tangazo kasema 5000 Kwa siku hii ni kutokana na gharama za uendeshaji wake mnavyomkomalia utadhani mnajua anayoyapitia.
Hata kama ni 5000 Kwa siku hiyo ni 150k Kwa mwezi wangapi tunaitafuta hii. Kwanini msianzishe nyie biashara zenu mkalipa 100,000 Kwa siku kama ni rahisi.
Hili ni tangazo, kama unaona hailipi unapiga kimya tu
Ila wabongo Kwa ujuaji asee. Mwenye tangazo kasema 5000 Kwa siku hii ni kutokana na gharama za uendeshaji wake mnavyomkomalia utadhani mnajua anayoyapitia.
Hata kama ni 5000 Kwa siku hiyo ni 150k Kwa mwezi wangapi tunaitafuta hii. Kwanini msianzishe nyie biashara zenu mkalipa 100,000 Kwa siku kama ni rahisi.
Hili ni tangazo, kama unaona hailipi unapiga kimya tu
na wengi wao huishi kwa shemeji,Ila wabongo Kwa ujuaji asee
Mpiji ipimachimbo,chama??
TAJIRI magumashi wengi ndio wanataka habari ya mshahara iwe siri .Kwani ukisema laki mbili kuna makasa gani .Ukitangaza mshahara halisi ndio utavutia wengiNiunganishe nae tuongee. kifupi mshahara huwa hauongelewi mitandano, ni makubaliano to hela niliyosema ni guideline tu.
Unasema hivyo kwa sababu hujawahinfanya biashara boss. Ni kweli watakuja wengi sana hata wasiojua chochote kuhusu hiyo kazi mladi tu apate huo mshahara.Kama mtu anania ya kazi mshahara pekee sio kigezo. Nakushauri fungu leo bar bunju na tangaza mashahara wa milioni moja uajiri mtu,TAJIRI magumashi wengi ndio wanataka habari ya mshahara iwe siri .Kwani ukisema laki mbili kuna makasa gani .Ukitangaza mshahara halisi ndio utavutia wengi