ANAITAJIKA:MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI.

ANAITAJIKA:MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI.

Mshimba1971

Member
Joined
Dec 13, 2021
Posts
75
Reaction score
67
ANAITAJIKA MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI MWENYE UZOEFU MZURI, KWAAJIRI YA BIASHARA BUNJU B. MARIPO NI TZS 5,000 KWA SIKU NA BONUS YA KILA MWEZI KUTOKANA NA MAUZO NA UBORA WA KAZI. KAMA UKO SAFI NA UZOEFU NITUMIE NAMBA YAKO DM.
 
Muuaji kwa siku 5000 wkti huo kifua kinamnyemelea
 
ANAITAJIKA MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI MWENYE UZOEFU MZURI, KWAAJIRI YA BIASHARA BUNJU B. MARIPO NI TZS 5,000 KWA SIKU NA BONUS YA KILA MWEZI KUTOKANA NA MAUZO NA UBORA WA KAZI. KAMA UKO SAFI NA UZOEFU NITUMIE NAMBA YAKO DM.
Duh... huo mshahara ndio wanapewa wanaoosha sahani na kupeleka msosi kwa wateja.

BTW Bunju B baa ipi tuje tukuungishe kwenye K Vant na ndugu zake?
 
Kwako ndogo kwa sababu unayo mkuu, 5000 ni kuchoma mbuzi mmoja na kwa siku tunachoma zaidi ya 6, ni hela ndogo hiyo?

Mmh pesandogo aiseeh ninae mchomaji mzuri sana ila kwa pesa hiyo mashaka hawezi kubali..
Yaani huyo angekuchomea siku moja tu siku ya pili ungejaza bar nakuapia ni kibokoooo
 
Niunganishe nae tuongee. kifupi mshahara huwa hauongelewi mitandano, ni makubaliano to hela niliyosema ni guideline tu.
 
Ila wabongo Kwa ujuaji asee. Mwenye tangazo kasema 5000 Kwa siku hii ni kutokana na gharama za uendeshaji wake mnavyomkomalia utadhani mnajua anayoyapitia.

Hata kama ni 5000 Kwa siku hiyo ni 150k Kwa mwezi wangapi tunaitafuta hii. Kwanini msianzishe nyie biashara zenu mkalipa 100,000 Kwa siku kama ni rahisi.

Hili ni tangazo, kama unaona hailipi unapiga kimya tu
 
Ukweli mtupu kiongozi
 
Wajuaji kinoma

Viwandani kwenyewe wanalipwa hizo pesa na wahusika wala hawalalamiki

Mnaoona ndogo subirien za 50,000 per day
 
Mpiji ipi
emoji1787.png
emoji1787.png
machimbo,chama??

Niunganishe nae tuongee. kifupi mshahara huwa hauongelewi mitandano, ni makubaliano to hela niliyosema ni guideline tu.
TAJIRI magumashi wengi ndio wanataka habari ya mshahara iwe siri .Kwani ukisema laki mbili kuna makasa gani .Ukitangaza mshahara halisi ndio utavutia wengi
 
Unasema hivyo kwa sababu hujawahinfanya biashara boss. Ni kweli watakuja wengi sana hata wasiojua chochote kuhusu hiyo kazi mladi tu apate huo mshahara.Kama mtu anania ya kazi mshahara pekee sio kigezo. Nakushauri fungu leo bar bunju na tangaza mashahara wa milioni moja uajiri mtu,
 
Back
Top Bottom