godiusngunda
Member
- Jun 11, 2013
- 33
- 75
Naitaji mfanyakazi wa kuuza duka la nguo za kike kariakoo.
Vigezo:
Vigezo:
Elimu form four na kuendelea
Umri 18<>25
Mdhamini mwenye makazi ya kudumu
Aliyekidhi vigezo weka namba yako pm utapigiwa