Aliyemuimba nani? Huko kimataifa wamemuimba wao sio sisi
wote wamechemka kwa yule mluguru!!Huyu alimzuia Mayele. vipi Sakho, Chama, Morisson na Mugalu wametupia magoli mangapi leo?
Ndio maana mechi imeisha sare kwasababu kila timu wameweza kudhibiti hatari. Kibwana kamsababisha hadi Morrison atolewe. Sakho aloyekuwa anaimbwa kuwa level zake ni kimataifa hadi ufaransa wanamtaja leo kageuka Sakhosi. Washabiki wa Simba mnasifiana ujinga kwasababu mlikuja kwa lengo la kuzuia magoli tu na ndio maqna mnafurahia mnaona kama mmewakomesha Yanga hawajapata goli. Hizi ndio zilikuwa mindset za Yanga kipindi cha zamani ikiwa ni underdog kwa Simba walikuwa wanasherkea sana sare kana kwamba ndio ushindi kwao. Leo imekuwa zamu yenu kuwa underdog kwa Yanga
wote wamechemka kwa yule mluguru!!
Utakua una matatizo kichwani
First Half Yanga 50%- Simba 50%
Second Half Yanga 49-Simba 51%
Tafsiri yake ni kuwa kwa mchezo wa leo, kipindi cha kwanza ilikua sawa kwa sawa iwe kushambulia au kutokushambulia na hivyo kuwa na umiliki ulio sawa sawa kila upande. Kipindi cha pili, Simba alimiliki zaidi ya Yanga na kwa hiyo alicheza kuizidi Yanga (ingawa ni marginally)!
Mtu anaezuia tu lazima angezidiwa lakini Simba kamzidi Yanga na hivyo alicheza kuliko Yanga! By the way, Yanga si ndo ilizuia zaidi
Sasa ikawaje underdog ana atempt on target halafu huyo mjuaji ana 0 atempt? Hii sayansi ya wapi?Ndio maana mechi imeisha sare kwasababu kila timu wameweza kudhibiti hatari. Kibwana kamsababisha hadi Morrison atolewe. Sakho aloyekuwa anaimbwa kuwa level zake ni kimataifa hadi ufaransa wanamtaja leo kageuka Sakhosi. Washabiki wa Simba mnasifiana ujinga kwasababu mlikuja kwa lengo la kuzuia magoli tu na ndio maqna mnafurahia mnaona kama mmewakomesha Yanga hawajapata goli. Hizi ndio zilikuwa mindset za Yanga kipindi cha zamani ikiwa ni underdog kwa Simba walikuwa wanasherkea sana sare kana kwamba ndio ushindi kwao. Leo imekuwa zamu yenu kuwa underdog kwa Yanga
Wakutetemeka[emoji853][emoji853][emoji853]View attachment 2206479
Makolo tunawakumbusha gap ni point 13
Utachukuaje kitu ambacho tayari kipo katika himaya yako? Ubingwa msimu huu Yanga alishauchukua tangu siku ya kwanza ligi inaanza kama unabisha taja wiki ambayo makolo waliongoza ligi msimu huuSio tena mnachukua ubingwa mikononi mwao?
Nimesha mjua ni mlopokaji. Sijamtaja mtu.
Utachukuaje kitu ambacho tayari kipo katika himaya yako? Ubingwa msimu huu Yanga alishauchukua tangu siku ya kwanza ligi inaanza kama unabisha taja wiki ambayo makolo waliongoza ligi msimu huu
Sijui mnaelewa au mnakurupuka mpira hamfuatiliagi. Kuingia kwenye mechi kama underdog hakumfanyi tumu underdog isiizidi timu iliyokuwa favoured kupata matokeo. Mechi ya Bayern Munich vs Villareal, ni Villareal ndio walikuwa ni underdog lakini kilichotokea kinajulikana.Sasa ikawaje underdog ana atempt on target halafu huyo mjuaji ana 0 atempt? Hii sayansi ya wapi?
Tulishauchukua tangu msimu ulipoanzaChukua tu umeusotea sana aseee!!
Hongera sana on target zimewapa point 3 katika mchezo wa leoSasa ikawaje underdog ana atempt on target halafu huyo mjuaji ana 0 atempt? Hii sayansi ya wapi?
Na wewe unaweza muanzishia pia thread yake ya kumsifia kama hii aliyoanzisha mdau kuhusu Henock InongaVipi kuhusu sakho, Morrison na kibu kwa jeshi la mtu mmoja KIBWANA SHOMARI!!.
Kasambaratisha wote [emoji3][emoji3]
Alidhani ni rahisi ndio maana alijitusu hadi kuahidiHata kabla ya mechi kuanza,alienda Kwa mashabiki akawaambia washangilie na Kisha akijipigapiga kifua na kunyoosha vidole viwili chini kama ishara ya Leo lazima afunge!
MAKOLOKOLO limekukimbia halijarudi tena kwa hizi takwimu [emoji28]Ambaye sio overrated yuko wapi hapa?View attachment 2206542