Anaitwa Henock VVD Rudiger Diaz Inonga

Anaitwa Henock VVD Rudiger Diaz Inonga

Ndio maana mechi imeisha sare kwasababu kila timu wameweza kudhibiti hatari. Kibwana kamsababisha hadi Morrison atolewe. Sakho aloyekuwa anaimbwa kuwa level zake ni kimataifa hadi ufaransa wanamtaja leo kageuka Sakhosi. Washabiki wa Simba mnasifiana ujinga kwasababu mlikuja kwa lengo la kuzuia magoli tu na ndio maqna mnafurahia mnaona kama mmewakomesha Yanga hawajapata goli. Hizi ndio zilikuwa mindset za Yanga kipindi cha zamani ikiwa ni underdog kwa Simba walikuwa wanasherkea sana sare kana kwamba ndio ushindi kwao. Leo imekuwa zamu yenu kuwa underdog kwa Yanga

Utakua una matatizo kichwani
First Half Yanga 50%- Simba 50%
Second Half Yanga 49-Simba 51%
Tafsiri yake ni kuwa kwa mchezo wa leo, kipindi cha kwanza ilikua sawa kwa sawa iwe kushambulia au kutokushambulia na hivyo kuwa na umiliki ulio sawa sawa kila upande. Kipindi cha pili, Simba alimiliki zaidi ya Yanga na kwa hiyo alicheza kuizidi Yanga (ingawa ni marginally)!
Mtu anaezuia tu lazima angezidiwa lakini Simba kamzidi Yanga na hivyo alicheza kuliko Yanga! By the way, Yanga si ndo ilizuia zaidi
 
Anakwambia underdogs wakati takwimu zinajieleza nan alikuwa underdog
 
Ndio maana mechi imeisha sare kwasababu kila timu wameweza kudhibiti hatari. Kibwana kamsababisha hadi Morrison atolewe. Sakho aloyekuwa anaimbwa kuwa level zake ni kimataifa hadi ufaransa wanamtaja leo kageuka Sakhosi. Washabiki wa Simba mnasifiana ujinga kwasababu mlikuja kwa lengo la kuzuia magoli tu na ndio maqna mnafurahia mnaona kama mmewakomesha Yanga hawajapata goli. Hizi ndio zilikuwa mindset za Yanga kipindi cha zamani ikiwa ni underdog kwa Simba walikuwa wanasherkea sana sare kana kwamba ndio ushindi kwao. Leo imekuwa zamu yenu kuwa underdog kwa Yanga
Sasa ikawaje underdog ana atempt on target halafu huyo mjuaji ana 0 atempt? Hii sayansi ya wapi?
 
Mbona mnatuponda jaman si n draw au mme qualify

20220430_185038.jpg
 
Sio tena mnachukua ubingwa mikononi mwao?
Utachukuaje kitu ambacho tayari kipo katika himaya yako? Ubingwa msimu huu Yanga alishauchukua tangu siku ya kwanza ligi inaanza kama unabisha taja wiki ambayo makolo waliongoza ligi msimu huu
 
Chukua tu umeusotea sana aseee!!
 
Sasa ikawaje underdog ana atempt on target halafu huyo mjuaji ana 0 atempt? Hii sayansi ya wapi?
Sijui mnaelewa au mnakurupuka mpira hamfuatiliagi. Kuingia kwenye mechi kama underdog hakumfanyi tumu underdog isiizidi timu iliyokuwa favoured kupata matokeo. Mechi ya Bayern Munich vs Villareal, ni Villareal ndio walikuwa ni underdog lakini kilichotokea kinajulikana.

Mechi ya leo Simba ndiye aliyeingia kama underdog na ndio maana ni kwa mara ya kwanza leo yanga kupewa point nyingi za kushinda kuliko simba na makampuni ya kubeti
 
Vipi kuhusu sakho, Morrison na kibu kwa jeshi la mtu mmoja KIBWANA SHOMARI!!.

Kasambaratisha wote [emoji3][emoji3]
Na wewe unaweza muanzishia pia thread yake ya kumsifia kama hii aliyoanzisha mdau kuhusu Henock Inonga
 
Hata kabla ya mechi kuanza,alienda Kwa mashabiki akawaambia washangilie na Kisha akijipigapiga kifua na kunyoosha vidole viwili chini kama ishara ya Leo lazima afunge!
Alidhani ni rahisi ndio maana alijitusu hadi kuahidi
 
Back
Top Bottom