Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ila leo kafanya kazi aliyosomeaNi lichezaji la MAKOLOKOLO FC linaloongoza kutetemeka hovyo hovyo tu likikosa penati langoni kwa mpinzani [emoji1787]
😂😂 Ww jamaa bhana 😂😂 utaenda mbinguni labla kwa rushwa
Wewe MAKOLO ambaye hukukalia nnje ndani umefikia wapi na mwendelezo wa michuano ya soka la kimataifa[emoji848][emoji16]Mmeonjeshwa kidogo tu kule kimataifa inavyokuwaga hawatetemagi ovyo ovyo naukilemaa kidogo tu unakalia nje ndani
Leo kashindwa kutetemaMzee wa kutetemeka.
On target za simba alipiga bibi yakoTunamwomba na aliyewazuia Mugalu, Sakho, Morrison na Chama kiasi kwamba hamna aliyelenga goli.
Tulishauchukua tangu msimu ulipoanza
Wewe MAKOLO ambaye hukukalia nnje ndani umefikia wapi na mwendelezo wa michuano ya soka la kimataifa[emoji848][emoji16]
[emoji1][emoji1] baba ebu punguza makasiriko. Bibi wa nini hapa? Au zile hasira mlizosema mtazimalizia kwa Yanga ndo umeona uzishushe kwangu?On target za simba alipiga bibi yako
Leta takwimu inayoonyesha basi. Leta hapa possession ilikuwa ngapi ngapi na attempts pia.Leo naona mmeamua kuingia maktaba,[emoji3][emoji3][emoji3] hiv lile bas mlilopaki taifa ni yutong au scania.
Utakuwa nacho cha kuchangia sasa? [emoji16][emoji16]anzishia thread yake tutachangia huko
Kumzuia Mayele ni achievement mzee. Ndo maana unaona hawajaongelea kuzuiwa kwa Mugalu, Sakho, Chama, Morrison ila Mayele.Alivyozuiwa mayele ndivyo hivyo hivyo walivyowekwa mfukoni wachezaji 4 wa simba na kibwana shomari, Chama, Morrison, kibu denis, na sakho wamekuwa mlenda mbele ya bwana mdogo na hapo tusemeje sijui
Ila hapa Mayele ndo topic. Ndo ujue namna gani bwana huyu anakondesha watu.[emoji1][emoji1]wote wamechemka kwa yule mluguru!!
Hao unaosema wana on target ni nani?Wamechemka? Wanaontarget hao wakati kunawengine hawana hata hiyo ontarget
Hasira zenu za CAF zimewasahau Yanga leo? Maana mlisema mtazimalizia hapo.Sio tena mnachukua ubingwa mikononi mwao?
Kwahiyo huko yanga kuna mayele tu?Vipi kuhusu sakho, Morrison na kibu kwa jeshi la mtu mmoja KIBWANA SHOMARI!!.
Kasambaratisha wote 😀😀
Bila ya kumsahau forward mpya hatari Chiko UshindiKama aliyotupia mayele, fei, Ntibazonkiza na Auchio
Hasira zenu za CAF zimewasahau Yanga leo? Maana mlisema mtazimalizia hapo.
Mchezaji wako mwenyewe anasema kazi ishakwisha baada ya kushindwa game ya leo ... Je, hiyo si kwamba tumeuchukua ubingwa mkononi mwao?View attachment 2206752
pumba inachangiwa na pumbaUtakuwa nacho cha kuchangia sasa? [emoji16][emoji16]
Ukiona team man of the match wao ni beki jua imezidiwa sanaMmefikia hatua ya kusifu beki sio Chama, Bocco, Kagere