Anaitwa Henock VVD Rudiger Diaz Inonga

Anaitwa Henock VVD Rudiger Diaz Inonga

Mmeonjeshwa kidogo tu kule kimataifa inavyokuwaga hawatetemagi ovyo ovyo naukilemaa kidogo tu unakalia nje ndani
Wewe MAKOLO ambaye hukukalia nnje ndani umefikia wapi na mwendelezo wa michuano ya soka la kimataifa[emoji848][emoji16]
 
On target za simba alipiga bibi yako
[emoji1][emoji1] baba ebu punguza makasiriko. Bibi wa nini hapa? Au zile hasira mlizosema mtazimalizia kwa Yanga ndo umeona uzishushe kwangu?

Unavyoongea hizo on target kama vile umepiga hamsini, kumbe ni mbili na moja ni ya kichwa.

Na katika hizohizo, si Mugalu, Chama wala Morrison aliyelenga goli.

Forward huna mzee. Chill. Babu Mugalu ni beki msaidizi tu. Na mnalijua hilo ndo maana mnachoongelea ni Mayele tu. Yani mshawasahau mpaka strikers wenu. Hamjui kama wapo tena.
Screenshot_20220430-212603.jpg
 
Leo naona mmeamua kuingia maktaba,[emoji3][emoji3][emoji3] hiv lile bas mlilopaki taifa ni yutong au scania.
Leta takwimu inayoonyesha basi. Leta hapa possession ilikuwa ngapi ngapi na attempts pia.

Tupaki basi kwa striker ya Mugalu na Kibu?

Tutakuwa vichaa.

Alafu ukimaliza leta takwimu za hao strikers wako ambao ni underrated tuwalinganishe na Mayele ambaye ni overrated tuone nani ni nani msimu huu.
 
Alivyozuiwa mayele ndivyo hivyo hivyo walivyowekwa mfukoni wachezaji 4 wa simba na kibwana shomari, Chama, Morrison, kibu denis, na sakho wamekuwa mlenda mbele ya bwana mdogo na hapo tusemeje sijui
Kumzuia Mayele ni achievement mzee. Ndo maana unaona hawajaongelea kuzuiwa kwa Mugalu, Sakho, Chama, Morrison ila Mayele.

Kitendo cha kumzuia Mayele kuwa topic inakupa picha kamili.

Screenshot_20220430-212603.jpg
 
Wamechemka? Wanaontarget hao wakati kunawengine hawana hata hiyo ontarget
Hao unaosema wana on target ni nani?

Morrison, Chama na Sakho, ambao ndo walikuwa wakipambana mara kadhaa upande wake, walilenga goli? Hiyo on target unayoongelea wewe (kana kwamba ni goli) zimetoka kwao?
 
Sio tena mnachukua ubingwa mikononi mwao?
Hasira zenu za CAF zimewasahau Yanga leo? Maana mlisema mtazimalizia hapo.

Mchezaji wako mwenyewe anasema kazi ishakwisha baada ya kushindwa game ya leo ... Je, hiyo si kwamba tumeuchukua ubingwa mkononi mwao?
Screenshot_20220501-002912.jpg
 
Back
Top Bottom