Anaitwa Henock VVD Rudiger Diaz Inonga

Alivyozuiwa mayele ndivyo hivyo hivyo walivyowekwa mfukoni wachezaji 4 wa simba na kibwana shomari, Chama, Morrison, kibu denis, na sakho wamekuwa mlenda mbele ya bwana mdogo na hapo tusemeje sijui
Sasa kama timu nzima ya Simba ilimzuia Mayele tu huoni kuwa ninyi huko kimataifa mtatia aibu kuu maana hakuna wachezaji wengine wanaoweza kuipa timu matokeo ikiwa Mayele hayupo? Yaani kwa lugha rahisi ni kwamba wachezaji wenu wengi ni mizigo
 
Unaongea kama umekatwa kichwa, Simba kwenye mechi za klabu bingwa macho yenu yalikuwa kwa Sakho, ndio tegemezi wenu upande wa ushambuliaji. Hakuna timu inayokosa key players.
 
Msimalize maneno yote, Kuna mechi ya FA inakuja. Alafu Mayele Alisha wafunga Simba kwenye Ngao ya jamii.
Mayele magoli 12, Mpole magoli 11; Mayele hana hata hat trick 1, mechi alizofunga magoli 2 hazifiki 3, hivyo ni ukweli kuwa Mayele is overated ingawa kibongo-bongo ni mshambuliaji mkali.

Vv
 
Mayele magoli 12, Mpole magoli 11; Mayele hana hata hat trick 1, mechi alizofunga magoli 2 hazifiki 3, hivyo ni ukweli kuwa Mayele is overated ingawa kibongo-bongo ni mshambuliaji mkali.

Vv
Kwahiyo Kufunga hat trick ndio kigezo cha kuwa mfungaji mkali?
 
Kupewa point nyingi na nani? Wapenzi wa utopolo au ni nani? Kwa kigezo gani? Yeyote anaweza kuamua kusema tu kwa kujifurahisha. Yanga haina team zaidi ya kukamia tu. Kimataifa inabidi ijutahidi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…