Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Sasa kama timu nzima ya Simba ilimzuia Mayele tu huoni kuwa ninyi huko kimataifa mtatia aibu kuu maana hakuna wachezaji wengine wanaoweza kuipa timu matokeo ikiwa Mayele hayupo? Yaani kwa lugha rahisi ni kwamba wachezaji wenu wengi ni mizigoAlivyozuiwa mayele ndivyo hivyo hivyo walivyowekwa mfukoni wachezaji 4 wa simba na kibwana shomari, Chama, Morrison, kibu denis, na sakho wamekuwa mlenda mbele ya bwana mdogo na hapo tusemeje sijui