Anaitwa Henock VVD Rudiger Diaz Inonga

Anaitwa Henock VVD Rudiger Diaz Inonga

Dormant Account

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2022
Posts
11,308
Reaction score
32,757
[emoji853][emoji853][emoji853]
IMG-20220430-WA0839.jpg
 
Mechi bado nyingi fuzu fa tukutane A town. Mayele ni mtu hatari Nchi nzima ilikuwa inasubiri Gori lake tu. Watu hawajui kama Kuna mgalu au Bocco 😀
 
Kama aliyotupia mayele, fei, Ntibazonkiza na Auchio
Ndio maana mechi imeisha sare kwasababu kila timu wameweza kudhibiti hatari. Kibwana kamsababisha hadi Morrison atolewe. Sakho aloyekuwa anaimbwa kuwa level zake ni kimataifa hadi ufaransa wanamtaja leo kageuka Sakhosi. Washabiki wa Simba mnasifiana ujinga kwasababu mlikuja kwa lengo la kuzuia magoli tu na ndio maana mnafurahia mnaona kama mmewakomesha Yanga hawajapata goli. Hizi ndio zilikuwa mindset za Yanga kipindi cha zamani ikiwa ni underdog kwa Simba walikuwa wanasherekea sana sare kana kwamba ndio ushindi kwao. Siku hizi imekuwa zamu yenu kuwa underdog kwa Yanga
 
Back
Top Bottom