Anaitwa Joseph Akandwanaho amewakanda Simba huko Zanzibar

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!

Nawakumbusha tu Makolo a.k.a Madunduka ya kwamba jamaa aliyewafunga kamoja anaitwa Akandwanaho na yeye bila ajizi ameamua kuwakanda nao!

Hivi Ulishakandwa nao? Usithubutu kukutwa!

Pia niwape taarifa Madunduka ya kwamba kituo kifuatacho ni kwa wana lambalamba, nina uhakika watawalamba ki kweli kweli!
 
Mwaka wa mateso huu kwa mbumbumbu fc. Yaani kuanzia sasa utakuwa ni mwendo tu wa vichapo, au sare! Kuhusu ushindi, wasahau.
 
Mwaka wa mateso huu kwa mbumbumbu fc. Yaani kuanzia sasa utakuwa ni mwendo tu wa vichapo, au sare! Kuhusu ushindi, wasahau.
Walau kuna kadefence akachojitambua kwa sehemu, mbali na hapo wangekuwa wanapigika tu mwanzo mwisho, naziona Sare nyingi kwa Simba unless baba yao tff awabebe.
 
Ukiulizwa hapo ulichofurahia ni nini, jibu lako linaweza kuwa ni nini?
 
Kama kuna mashabiki ni ngumu kuwaelewa, basi ni wa Simba. Yani timu yao ikipata matokeo chanya hata kwa njia ya kubumba, wanafarijika kabisa na kusahau Kila kitu.

Ngoja sasa wafungwe, wanajifanya kupandisha hasira unaweza hisi wapo serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…