princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Young Thug yule ni rapper au mpiga kelele tu??Chalii ana kelele yule daah..!!Iyo Circles ni Noma coz Hajawahi koseaGoodbye ngoma nzuri ila young thug kaharibu hakuingia vizuri na beat ..ngoja tusubiri circle
Young Thug yule ni rapper au mpiga kelele tu??Chalii ana kelele yule daah..!!Iyo Circles ni Noma coz Hajawahi kosea
unaitwa TALK mkuu wimbo huu ulishika namba 5 billboard hot 100Kuna wimbo wake mmoja matata sana, marangi rangi mekundu yamejaa
Ingia songslover.pk au songslover.com utakutana na Album za wasanii 100% za nje ukitaka za Khalid vuta kwny A to Z artist ukiingia K utakutana nazo Album 2 na EP mojaUna link ya album!?
Thanks.... Oouhh...Ingia songslover.pk au songslover.com utakutana na Album za wasanii 100% za nje ukitaka za Khalid vuta kwny A to Z artist ukiingia K utakutana nazo Album 2 na EP moja
American Teen ya mwaka 2017
Free Spirits (2018/19)
Sun city (hii ni EP) (2018/19)
Naupenda sana ule wimbo wa love lies
Anauimbaji fulan mzir sana
Pamoja sana mkuu.Ukipata link ya kustream share na mie
Vertigo - nyimbo yake bora kwanguaisee nianze kwa kuwasalimu wanajukwaa
Khalid Robinson ni msanii wa kimarekani ambaye anaujua muziki kwa kweli...Kipaji chake anakithibitisha ndani ya tungo zake mujarabu kabisa hadi sichoki kuzisikiliza
Ngoma yake iliyofanya nimtambue ni 'location' aliyoiachia june 2016 then vibao vikali hv vikafuata
-American teen
-Young dumb broke n.k ndo vilivyompa jina.
Ukiuangalia uso wa jamaa ni kama innocent hv afu cha ajabu waweza dhani ni jibaba kumbe ni wa juzi hapo 98
vibao vyake ambavyo navikubali ni talk,therapy,O.T.W na hitsong kali aliyoitoa tar. 2 august mwaka huu inaitwa right back....
Namtabiria kufika mbali san huyu brooo coz yuko kipekee sana
Una link ya album!?
Tafuta muda wako usikilize album yake ya stoney nayo ina mawe ya kutosha
Goodbye ngoma nzuri ila young thug kaharibu hakuingia vizuri na beat ..ngoja tusubiri circle
Nimepata sikia mbili tatu ingawa sija settle nao fresh nitaitafuta full