Anaitwa khalid: My best new soul singer

Anaitwa khalid: My best new soul singer

Goodbye ngoma nzuri ila young thug kaharibu hakuingia vizuri na beat ..ngoja tusubiri circle
Young Thug yule ni rapper au mpiga kelele tu??Chalii ana kelele yule daah..!!Iyo Circles ni Noma coz Hajawahi kosea
 
Naupenda sana ule wimbo wa love lies
Anauimbaji fulan mzur sana
 
Una link ya album!?
Ingia songslover.pk au songslover.com utakutana na Album za wasanii 100% za nje ukitaka za Khalid vuta kwny A to Z artist ukiingia K utakutana nazo Album 2 na EP moja

American Teen ya mwaka 2017
Free Spirits (2018/19)
Sun city (hii ni EP) (2018/19)
 
Izi ndo nyimbo zng 5 bora kwny Album ya Free Spirit lazima nizi rewind Don't Pretend ft SAFE kwangu ndo wimbo bora kwenye hii Album














 
Ingia songslover.pk au songslover.com utakutana na Album za wasanii 100% za nje ukitaka za Khalid vuta kwny A to Z artist ukiingia K utakutana nazo Album 2 na EP moja
American Teen ya mwaka 2017
Free Spirits (2018/19)
Sun city (hii ni EP) (2018/19)
Thanks.... Oouhh...
Be blessed
 
He has a very relaxed tone..

Hatumii nguvu kiviilee... But he kills it
 
aisee nianze kwa kuwasalimu wanajukwaa

Khalid Robinson ni msanii wa kimarekani ambaye anaujua muziki kwa kweli...Kipaji chake anakithibitisha ndani ya tungo zake mujarabu kabisa hadi sichoki kuzisikiliza
Ngoma yake iliyofanya nimtambue ni 'location' aliyoiachia june 2016 then vibao vikali hv vikafuata



-American teen
-Young dumb broke n.k ndo vilivyompa jina.
Ukiuangalia uso wa jamaa ni kama innocent hv afu cha ajabu waweza dhani ni jibaba kumbe ni wa juzi hapo 98

vibao vyake ambavyo navikubali ni talk,therapy,O.T.W na hitsong kali aliyoitoa tar. 2 august mwaka huu inaitwa right back....

Namtabiria kufika mbali san huyu brooo coz yuko kipekee sana
Vertigo - nyimbo yake bora kwangu
 
Back
Top Bottom