Anaitwa khalid: My best new soul singer

Anaitwa khalid: My best new soul singer

INTROVERT MAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
993
Reaction score
1,343
aisee nianze kwa kuwasalimu wanajukwaa

Khalid Robinson ni msanii wa kimarekani ambaye anaujua muziki kwa kweli...Kipaji chake anakithibitisha ndani ya tungo zake mujarabu kabisa hadi sichoki kuzisikiliza
Ngoma yake iliyofanya nimtambue ni 'location' aliyoiachia june 2016 then vibao vikali hv vikafuata



-American teen
-Young dumb broke n.k ndo vilivyompa jina.
Ukiuangalia uso wa jamaa ni kama innocent hv afu cha ajabu waweza dhani ni jibaba kumbe ni wa juzi hapo 98

vibao vyake ambavyo navikubali ni talk,therapy,O.T.W na hitsong kali aliyoitoa tar. 2 august mwaka huu inaitwa right back....

Namtabiria kufika mbali san huyu brooo coz yuko kipekee sana
 

Attachments

  • khalid-performs-on-coachella-stage-during-the-2019-coachella-valley-picture-id1137242921.jpg
    khalid-performs-on-coachella-stage-during-the-2019-coachella-valley-picture-id1137242921.jpg
    42.9 KB · Views: 47
  • khalid-performs-onstage-during-vevo-halloween-2017-at-craneway-on-picture-id867678168.jpg
    khalid-performs-onstage-during-vevo-halloween-2017-at-craneway-on-picture-id867678168.jpg
    17.3 KB · Views: 58
Aisee uko vizuri na ulichokiandika ni ukweli pure.

Jamaa anakimbiza top 5 kwenye hot 100 billboard na ngoma yake ya "talk"
 
Album yake ya free spirit sijaipenda sana kama ile ya american teen ila yuko vizuri .. napenda sikiliza mziki wake

My best ni postmalone nakubali iki kichwa
 
Nilikuwa namuangalia ana perform live katika Steven Colbert Show Ijumaa nafikiri.

Jamaa yuko juu sasa hivi.
 
Khalid namskiliza sana nina full album yake ya mwaka huu ni moto yani kila ngoma Kali
 
"Congratulations"
You probably think that u better now(Better now)
U know I'll never meant let u dow(Let u down)
Woulda gave u anything
Woulda gave everything.......Naikubali sana hii na hizi,White Iverson,Psycho,Rock star,Go flex,Too Young na iyo Congratulation yenye views bilioni1.
 
Yap..Alipata nafasi mwaka mzima kukaa kwenye lift#Vevo YouTube akaitumia vyema kwa kutoa Album ya American Teen iliyomfanya ajulikane zaidi Duniani. akiwa na hits kama Young dumb,Broke na Location
 
Back
Top Bottom