Anaitwa Michael Babatunde wa Waydad ac.....

Anaitwa Michael Babatunde wa Waydad ac.....

Unamuondoa Wawa unamleta wa 32?
Taarifa za Simba kusajili umezipata wapi.

Sababu hakuna mahali popote Simba imetangaza usajili wa mchezaji yeyote.

Acheni uzuzu. Au ndiyo akili za UTOPOLO hizi.
 
Chama langu Simba huu ndio usajili mpya ama.....

Chama kwa mfumo ule atatuchelewesha sana....maoni tu msinipopoe

View attachment 2069996

View attachment 2069997

View attachment 2069998
Screenshot_20220106-192929_Instagram.jpg

Naona Simba wanacheza kamari kwa huyu na Shibobo,kwa hiyo mwendo wa trial and errors.
 
Back
Top Bottom