Anajibu maombi nimempata wangu wamaisha

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] katika kila watanzania wanne. .......
 
Yaani nlikua nimeshaandaa maswali yangu kama 67 hivi nikisubiri nimalize kusoma nianze mashambulizi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Lala tena uote ushamuoa na kakuzalia watoto watatu.. mmoja dume ..mawili majike.
 
Sawa sawa, maelezo marefu kumbe unaota, sasa nakushauri nenda ukalale tena ili utakapo amka uwe umeshafunga nae ndoa!
 
Kwa Mama Kamche Hapo Umenikumbusha Mbali Sana, Kitimoto Na Castle Lager Baridi Kipindi Nipo Chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…