Anajifanya bab kubwa nimfanyeje...?

sweetdada

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
517
Reaction score
169
WanaJF naombeni maoni au ushauri nifanyeje kuhusu hili.

Niko kwenye uhusiano wa miaka 6 sasa na nimezaa na huyu kijana,ninampenda sana na yeye analijua hilo,tatizo ni kwamba kwa muda wote huu he was okay,ila sasa hivi amebadilika anajiona bab kubwa kisa wanawake wanamfwata so hemost of the times compares me na hao wanawake wanaomtaka kimapenzi,imefikia point kama nikifanya kitu hajapenda anadiriki kunambia kuwa "hujui uko kwenye competition"?..sasa hii tabia kwa kweli siipendi.
Nikiamua kumkalia kimya anasema ooh una mtu ndo mana unaniignore,sijui nimfanyeje huyu mwanaume kwa kweli..kuoa hana dalili kila leo kuna jambo,ilikuwa mpaka amalize kusoma sasa hivi mpaka amalize kujenga.nikimuacha anarudi.
nashindwa kumuelewa.je nimuache,nimfanyejee?nikiongea nae anasema napenda kulalamika..dont know what to do..nishaurini tafadhali
 
ilikuaje ukazaa nae kabla ya ndoa?huoni sasa umekamatika?ukimwacha huyo utazaa tena na mwanaume mwingine au ndio utawachukia wanaume wote?
 
Dada Pole huyo Boyfriend wako ana mambo ya kishamba na kitoto pia
Hao wanaomfuata wengine labda wako Postive ,wengine wanataka kumchuna .....
yeye anadhani anapendwa ..
 
Wanaume wengine bwana...ni mitihani isiyo na majibu!!Hiyo comparison anayofanya inaletwa na majigambo!Inavyoonekana ni mgeni wa kutakwa na wanawake sasa analewa sifa...asisahau kwamba kama wameanza leo na sio jana kuna kinachowavuta!My best guess..KAZI!Mwambie kwamba hupendelei hiyo tabia yake..kama anavyotakwa yeye kwa hakika hata wewe kuna ambao wanakutaka na kukuhitaji!Mkalishe chini siku moja umwambie yote yanayokukera na kwamba akiendelea kutokukuthamini utamwacha maana vitisho vimekuchosha
 
Ulivyo mwlezea ni kama mdogo kako!! sijui ila natakatu kutrace chanzo cha tatizo.kam ni kweli labda ulimkamata wakati akiwa hajajua mashamba mengine yana rutuba kiasi gani.kwa sasa kayajua kwa hyo anataka kulima shamba la chaguo lake.
kama sivyo basi mweleze awe mwazi, kama anajua hana future na wewe basi mjue, kama anayo basi mpange under maelewano na kuyasimamia.vinginevyo time will tell.
 
ilikuaje ukazaa nae kabla ya ndoa?huoni sasa umekamatika?ukimwacha huyo utazaa tena na mwanaume mwingine au ndio utawachukia wanaume wote?
Stick to the topic...aliyezaa nae na kilichopelekea hivyo kabla ya ndoa is none of our business!
 
Tatizo letu wasichana ni kutofanya maamuzi na kuyasimamia...kila siku anakupa sababu za kutokuoa na wewe unamsikiliza.....my dear,muweke chini mwambie you are ready to move on....anaona kama kuwa na mtoto kutakufanya uwe nae no matter what,he he he ......let me swear to you yupo mwanaume atakupenda,kukuheshimu na kukuthamini kama ulivyo na pale ulipopungukiwa atakuweka sawa na si kukulinganisha na kukuambia uko kwa competition.....he does not worth you.....take a big decision.....keep a distance from him,if he does not learn or discover how much you worth....he does not deserve you....muache aende zake....umemuonyesha ye ni kila kitu and he is taking advantage of that....em imagine...akifa we hutaishi? haya kasema leo kakuacha na mwanao,utamfunga kamba?let him go and move on with your life before its late....he is emotionally abusing you by comparing you with others....ujione we si kitu....muonyeshe we ni kitu...be proud of yourself....all the best,blessings!
 

pole sana ndio matatizo ya kuzaa kable ya ndoa wakati unataka ndoa, Mkabidhi kwa Mungu nae ataonyesha njia katika hilo
 
Stick to the topic...aliyezaa nae na kilichopelekea hivyo kabla ya ndoa is none of our business!

ndo maana nakupenda,pengine ndo anayezungumzwa hapa manake hawezi ona mwenzie is in dilemma!
 
pole sana ndio matatizo ya kuzaa kable ya ndoa wakati unataka ndoa, Mkabidhi kwa Mungu nae ataonyesha njia katika hilo

Watu wengine bwana!Mtu anaomba msaada mnaanza kumhukumu!Wangapi wamezaa ndani ya ndoa na watoto wa ziada wameletewa?
 

we mwanamke mbona waongea kwa ukali sanaa!!!!!!!!
 
Stick to the topic...aliyezaa nae na kilichopelekea hivyo kabla ya ndoa is none of our business!


The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

LD (Today)​
 
Lol! Mweh! Ain't you, you? Owkey I see how it goes.

Talk is cheap. It's easy to talk tough on the internet especially....
 
The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:

LD (Today)

Hii thread inaweza ikaishia hapa hapa!!! Dada copy haya maneno, print, kariri kama sala ya baba yetu.
Yani by this time hata usitake kujua wala kusikia la kwake. Acha wakati utaamua mambo.
Aiseeeeeeeeeeeeeeee!!!!
 
Watu wengine bwana!Mtu anaomba msaada mnaanza kumhukumu!Wangapi wamezaa ndani ya ndoa na watoto wa ziada wameletewa?


hapa tunatoa dawa na kinga kwa wengine wasitumbukie shimoni
 

amenipita 4 years.tumeanza relationship when i was 25.he had nothing hata elimu yake ilikuwa ya wastani, now he has masters degree he has a good job that he gets to meet lots of people.wanawake wanamuona unlike mwanzo so he thinks he is everything,ndo anaanza kunicompare mpaka mavazi,like mbona yule kavaa vile or ungevaa kama vile...nimemkalisha chini but to no avail..he claims he loves me lakini hanionyeshi..he is very good kwenye kuniongelea vizuri kwa marafiki au tukiwa in public he'll do everything ajulikane am his...
 
ilikuaje ukazaa nae kabla ya ndoa?huoni sasa umekamatika?ukimwacha huyo utazaa tena na mwanaume mwingine au ndio utawachukia wanaume wote?

CRAPpppppppppppppppppppppppppppppppppppppp!!!!!!
Hivi ndiyo vipepeo vyenyewe.
Mshauri mtu, sio unajifanya una haki kupita kiasi.

Who knows what tomorrow has to offer??

Unaijua kesho yako wewe!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…