Anajifanya bab kubwa nimfanyeje...?

Anajifanya bab kubwa nimfanyeje...?

WanaJF naombeni maoni au ushauri nifanyeje kuhusu hili.

Niko kwenye uhusiano wa miaka 6 sasa na nimezaa na huyu kijana,ninampenda sana na yeye analijua hilo,tatizo ni kwamba kwa muda wote huu he was okay,ila sasa hivi amebadilika anajiona bab kubwa kisa wanawake wanamfwata so hemost of the times compares me na hao wanawake wanaomtaka kimapenzi,imefikia point kama nikifanya kitu hajapenda anadiriki kunambia kuwa "hujui uko kwenye competition"?..sasa hii tabia kwa kweli siipendi.
Nikiamua kumkalia kimya anasema ooh una mtu ndo mana unaniignore,sijui nimfanyeje huyu mwanaume kwa kweli..kuoa hana dalili kila leo kuna jambo,ilikuwa mpaka amalize kusoma sasa hivi mpaka amalize kujenga nikimuacha anarudi.
nashindwa kumuelewa.je nimuache,nimfanyejee? nikiongea nae anasema napenda kulalamika..dont know what to do..nishaurini tafadhali

Ingekuwa inawezekana tungesema tusikilize na upande wa pili unasemaje, coz huwezi jua nae anaweza akaja hapa akaanzisha sredi kwamba mwanamke wake hampendi, so ni ngumu sana kuamini directly kwa kusikiliza one side.
Ila kama ni hivyo ni wazi kwamba hakupendi na pengine anaamini huwezi kuondoka.
I think its a time for you ladies to have your own decisions too.
Mueleze live kwamba hupendi hiki na kile bila uoga, na uso ubadilike kabisa uonekane hutaki mzaha. Na mueleze kwamba unaweza kwenda ukaishi kwingine.
Be strong ladies
 
Tatizo letu wasichana ni kutofanya maamuzi na kuyasimamia...kila siku anakupa sababu za kutokuoa na wewe unamsikiliza.....my dear,muweke chini mwambie you are ready to move on....anaona kama kuwa na mtoto kutakufanya uwe nae no matter what,he he he ......let me swear to you yupo mwanaume atakupenda,kukuheshimu na kukuthamini kama ulivyo na pale ulipopungukiwa atakuweka sawa na si kukulinganisha na kukuambia uko kwa competition.....he does not worth you.....take a big decision.....keep a distance from him,if he does not learn or discover how much you worth....he does not deserve you....muache aende zake....umemuonyesha ye ni kila kitu and he is taking advantage of that....em imagine...akifa we hutaishi? haya kasema leo kakuacha na mwanao,utamfunga kamba?let him go and move on with your life before its late....he is emotionally abusing you by comparing you with others....ujione we si kitu....muonyeshe we ni kitu...be proud of yourself....all the best,blessings!

thnx Michelle kwa ushauri mzuri..i'll implement.
 
bila ya shaka ushauri wangu unahitajika katika hii sredi
 
Asanteni kwa ushauri mzuri.Naomba nieleweke kitu kimoja,huyu mwanaume siishi nae,kila mtu anaishi kivyake mie mashariki ya magaribi tunakutana tu mara chache in the evenings after work most of the times on weekends na huwa anakuja kumwangalia mtoto.sijasema kama hanipendi,ila matendo yake ndo yanaongea hivyo kwa jinsi anavyonifanyia comparison na kunambia kila leo yule kanitaka yule kanitaka na kusema mie ninalipa and all that stuff.

@BONGOLALA..Kuzaa kwangu kabla ya ndo wewe haikuhusu ni maamuzi ya mtu,mi nimeomba ushauri na suluhisho la tatizo.Please advise accordingly.
 
CRAPpppppppppppppppppppppppppppppppppppppp!!!!!!
Hivi ndiyo vipepeo vyenyewe.
Mshauri mtu, sio unajifanya una haki kupita kiasi.

Who knows what tomorrow has to offer??

Unaijua kesho yako wewe!!!!

The Following User Says Thank You to LD For This Useful Post:

Michelle (Today)​
 
karibu sana...
leo nitakuwepo sana, acha nikabebe brifkesi langu la ushauri nasaha. stay tuned. nashukuru wiki hii nimefanikiwa kuokoa ndoa 5, hii inaweza ikawa ya sita (japo sio ndoa)
 
leo nitakuwepo sana, acha nikabebe brifkesi langu la ushauri nasaha. stay tuned. nashukuru wiki hii nimefanikiwa kuokoa ndoa 5, hii inaweza ikawa ya sita (japo sio ndoa)

ndoa gani hizo? za mawaziri?
 
ndoa gani hizo? za mawaziri?
ustoke kwenye topic. sweetdada yuko serious asije akaturipoti abyuzi. ndoa nitazielezea kwa urefu sana next week. kwa kweli naomba mnipongeze tu kwa kazi kubwa ninayoifanya kuhakikisha familia hazibomoki.
 
hapana! case yangu mimi ni tofauti na huyu dada mimi sijalalamika na niliyezaa nae bado tunapendana ingawa hatuna mahusiano ya kimapenzi

Ila ulizaa nje ya ndoa!Usiwe mnafki bwana...ulivyozaa wewe haina tofauti na yeye!
 
Back
Top Bottom