CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
WanaJF naombeni maoni au ushauri nifanyeje kuhusu hili.
Niko kwenye uhusiano wa miaka 6 sasa na nimezaa na huyu kijana,ninampenda sana na yeye analijua hilo,tatizo ni kwamba kwa muda wote huu he was okay,ila sasa hivi amebadilika anajiona bab kubwa kisa wanawake wanamfwata so hemost of the times compares me na hao wanawake wanaomtaka kimapenzi,imefikia point kama nikifanya kitu hajapenda anadiriki kunambia kuwa "hujui uko kwenye competition"?..sasa hii tabia kwa kweli siipendi.
Nikiamua kumkalia kimya anasema ooh una mtu ndo mana unaniignore,sijui nimfanyeje huyu mwanaume kwa kweli..kuoa hana dalili kila leo kuna jambo,ilikuwa mpaka amalize kusoma sasa hivi mpaka amalize kujenga nikimuacha anarudi.
nashindwa kumuelewa.je nimuache,nimfanyejee? nikiongea nae anasema napenda kulalamika..dont know what to do..nishaurini tafadhali
Ingekuwa inawezekana tungesema tusikilize na upande wa pili unasemaje, coz huwezi jua nae anaweza akaja hapa akaanzisha sredi kwamba mwanamke wake hampendi, so ni ngumu sana kuamini directly kwa kusikiliza one side.
Ila kama ni hivyo ni wazi kwamba hakupendi na pengine anaamini huwezi kuondoka.
I think its a time for you ladies to have your own decisions too.
Mueleze live kwamba hupendi hiki na kile bila uoga, na uso ubadilike kabisa uonekane hutaki mzaha. Na mueleze kwamba unaweza kwenda ukaishi kwingine.
Be strong ladies