Anajifanya bab kubwa nimfanyeje...?

mwanamke akishapita miaka 30 kwa dunia ya leo kuolewa na kijana mwenzake inakuwa ni issue hapo lazima uataangukia kwa kibabu kilichofiwa na mke wake au aliyeachana na mke wake. mara nyingi hii ipo pande zote za jinsia mtu mnaeanza nae maisha yeye akija kuadvance anakuja kukuona wewe si lolote kwake hanakuwa amekutana na new kampani. any way Lady there is nothing important thing than to be alive, so much trouble in the world and no body who feel your pain. life goes on.
 
Asante mpendwa!Yani wanataka kumkosesha dada wa watu raha!

hapa kuna watu wanavaa uhucka wa ujaji,uhakimu,upolisi,upasta etc,hao hupenda kuhoj than kuchangia!what i knw dada anahtaj ushauri,though amezaa b4 ndoa,
 
Nimewasikia woote na maoni na ushauri tofauti nashukuruni sana.Michango yenu inanisaidia kuchanganua what to do.

Klorokwini bado nasubiri kukusikia.
 
Nimewasikia woote na maoni na ushauri tofauti nashukuruni sana.Michango yenu inanisaidia kuchanganua what to do.

Klorokwini bado nasubiri kukusikia.
usjali, vuta subira. mimi siku zote nakuwa nasubiria watu wamwage mahasira yao halaf ndio naweka konklushen. yaani worry not. consider your problem solved
 
Michelle ni wewe au naota maneno hya mzto kweli yanahtaj moyo wa chuma.
 
Marytina ushauri wako unamaanisha kweli au sijaulelewa? Mbona mdada anaonekana hana matabia ya kishari, jamani kuachana sio mpaka mgombane, we mshauri aquit tu, kumbuka yule ni baba wa mtoto wake panga pangua uhusiano utaendelea kuwepo tena wa kudumu. Ningekuwa mimi mshauriwa, huu wako nisingeubeba!
 
wanaume wengine ni viatu kwakweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
that's michelle i told you!!
 
lizy ulitaka kubadili jina lakini mmmmmmmhhh!! kuwa makini best kama mambo yenyewe ndio hivi!!!!!!
 
lizy ulitaka kubadili jina lakini mmmmmmmhhh!! kuwa makini best kama mambo yenyewe ndio hivi!!!!!!
Hahahahaha!Asante kwakunishtua besti ila dada yetu hapa bado hajabadilisha!
 
Klorokwini uko wapi? nasubiri konklushen. nimeshaanza kuimplement some of the good advise given in here..bado wewe tu.
 
Inabidi ufanye kitu ili ajue kama hupendi anavyokwambia,yooote yanavumilika lakini la kulinganishwa huwa linachoma kama mkuki, sasa basi kuna vitu hata mimi nilivitumia vikasaidia, kwa mfano mpo dinner akasema hapa ungevaa kama fulani mpe maneno yake kwa ukali then inuka toka nje chukua taxi nenda nyumbani atakuja mtaongea then unafikiri next time atarudia?hawezi atajua utafanya kama ulivofanya the other time

Kuhusu ndoa mradi umezaa kuna vitu vingi sana unaweza kufanya ili akuoe nikipata muda nitakupm halafu nikufundishe namna ya kumfanya mwanamme akuoe ingawa wengine wanapenda itokee naturally lakini wengine inabidi wabanwe kwenye corner tu,ila sijajua kama mnaishi wote nyumba moja? kama mnaishi hizi mbinu huwa hazifanyi kazi sana.
 
hatuishi nyumba moja so i think mbinu utakazonipa zitawork..thnx
 
hatuishi nyumba moja so i think mbinu utakazonipa zitawork..thnx

Mmh ndoa ya kulazimisha unataka??Siku akikuchoka..!Nwyz ngoja niache umbea..go ahead mwaya jipe kile roho inataka ila roho yake ikiwa inataka pia ndo raha inaongezeka kwasababu unajua he is there because he wants to not because you forced him!
 
hamna kitu kama hicho gaga ,sorry lkn kwa upande wangu naona haiwezekani na ikiwezekana haitakuwa endelevu.
 
Mmh ndoa ya kulazimisha unataka??Siku akikuchoka..!Nwyz ngoja niache umbea..go ahead mwaya jipe kile roho inataka ila roho yake ikiwa inataka pia ndo raha inaongezeka kwasababu unajua he is there because he wants to not because you forced him!

Lizzy sihitaji kulazimisha ndo mana muda wote huo nimekuwa patient..i just want to hear wat the lady has to say nione ni mbinu gani hizo zinatumika na wadadaa!!!..am actually not very good at forcing things, i believe in 'letting nature take its course'..
 
usjali, vuta subira. mimi siku zote nakuwa nasubiria watu wamwage mahasira yao halaf ndio naweka konklushen. yaani worry not. consider your problem solved

Wewe kiboko aiseee....yaani unampa moyo kabisa au sio???duuu na mimi nataka nione huo ushauri wako mkuu.....
 
huyo dada anatafuta namna ya kuachana na huyo jamaa sasa solution ni timbwili tu ili ujue kimoja.Kama sivyo atageuzwa nyumba ndogo na wako wengi wa dezain hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…