Anajifanya bab kubwa nimfanyeje...?

pole sana sweetdada...if your name reflects anything real about you, I wonder what hapenned to your man. Lakini kikubwa ni ulimbukeni wake tu...kama pia kwa upande wako hakuna unachofanya kikambore maana hapa ni story ya upande mmoja

La muhimu usilazimishe ndoa maana hiyo si ya kila mtu na wala sio chakula useme kila mtu anahitaji kula. Tulia, na tumia mbinu za kumfanya akumiss na hata akilalamika endelea kumuignore uone atafanyaje......atarudi mwenyewe tu....

pole tena some of us men tunabehave kama watoto vile
 
Dada Pole sana,

Ukiona hivyo ujue jamaa kaanza kujiona kuwa yupo juu.Huu ni ushamba kwa kweli,kukosa ubinadamu na focus kwenye maisha,take courage...talk to him,mwambie jinsi unavyojiskia,ukiona haibadiliki mwambie wazi kwamba pamoja na kuwa ulitegemea kuwa mtaishi pamoja,lakini ni dhahiri mambo yanakushinda.Pia usisahau kumwomba Mungu,najua anakupenda ila ulimbukeni unamsumbua tu.Pia na wewe akikushauri kuhusu mavazi msikilize,yaani kuhusu hilo mshauriane coz kila mwanaume anataka mchumba wake apendeze kwenye mitoko,hata mimi napenda hivo.Hiyo clading taste,usichukie
 
thanks wote kwa kunishauri but i just couldn't take it anymore.nimeamua kuquit.
kama tulipangiwa kuwa pamoja basi na itakuwa hivyo if not then nitapata mwingine.
wheew!what a relief.
 
dah... kweli siku hizi nimekua lazy, sikuona hii kitu

Sweetdada, hii thread yako iko kwa upande mmoja tu, yaani wako

si rahisi mwanaume kusema yote hayo bila kupata trigger ya aina fulani.... in addition, mwanaume hawezi kukaa na wewe for six years kama hakukupenda

kuna kitu inamiss kwenye hii habari na kwangu mimi ni source ya mtu kukwambia hakupendi, haiji hivihivi na baada ya kujua wewe ulijibu nini?


something is terribly missing hapa
 
Huyo ana tabia ya USERENGETI boy! Akikua labda ataacha... PIGA CHINI FASTA..
 

Jiamini. Usifikirie umfanyeje, bali fikiria yeye akufanyieje ili aendel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…