Benokolongokonongose
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 213
- 52
Binamu yako ndio akuadithie mambo ya chooni? Usione soo kama ni wewe mbona haina shida!! Kunya kingi it means unakula makapi mengi kuliko nutrients!
Habari zenu wapendwa katika JF!
Binamu yangu ana miaka 35. Analalamika kuwa anajisaidia kinyesi kingi na anaogopa hali hii. Na sisi tunaona akiingia chooni hadi kutoka inahitaji uvumilie kama unataka kuingia. Je atakuwa na ugonjwa au ni hali inayotokea wengi?Shukrani wakuu
Kunradhi unaweza kutupatia kapicha walau in passport size? Na hili tatizo limekuanza lini (wewe binamuyako)
Nimecheka sana uwiii.
Mkuu inabidi kuanza kuchimba shimo lingine la choo, ushauri wa bure