Anajua walipo na kama wako hai ama la

Anajua walipo na kama wako hai ama la

ni kwanini baada ya uchaguzi wa ndani wa chadema watu hawavai bullet proof vest?

lakini pia kwanini matukio ya utekaji na vijana kupotelea chadema HQ yameisha baada ya uchaguzi wa ndani wa chadema kwisha?

Chadema HQ kuna nina hasa? nani alikua threats kwa wengine? :NoGodNo:
Km ww
 
Tunasikitika kitendo cha kupotea Kwa binadamu wenzetu.

Ila kutoa tuhuma Kwa mtu ,eti anajua walipo inaleta ukakasi.

Je,tupo tayari kutoa ushahidi ikiwa tutaitwa mahakamani?
Sikiliza kwa makini, kabla ya kutoa majina ya watuhumiwa, wewe ndiye unaanza kutaja watu
 
Back
Top Bottom