Anajua walipo na kama wako hai ama la

Km ww
 
Tunasikitika kitendo cha kupotea Kwa binadamu wenzetu.

Ila kutoa tuhuma Kwa mtu ,eti anajua walipo inaleta ukakasi.

Je,tupo tayari kutoa ushahidi ikiwa tutaitwa mahakamani?
Sikiliza kwa makini, kabla ya kutoa majina ya watuhumiwa, wewe ndiye unaanza kutaja watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…