The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Member mwamba and 998 others alipo anajuta kwa nini aliposti hule uzi wake wa kuzamia SGR business class kwa nauli ya Morogoro kwenda Dodoma.
Kwa mshangao hakuamini members walivyomshukia kama mwewe na kumshutumu. Nadhani alijuta kuposti.
Kwenye huo uzi nilijifunza bado kuna integrity na honesty kwa watanzania. Kwasababu wengi walichukizwa na hiyo tabia yake.

Unalipa Nauli ya Business Dar -Moro (50,500/=) ila unasafiri mpaka Dodoma na huduma za full VIP [soft drinks na snacks], (badala ya kulipa bei halali ya 120,000) na huduma za kifalme. NB: ukimuona TT anakagua tiket unazuga unaenda chooni au unapokea simu mpaka aondoke.
behewa za Business class huwa hazijai
USHAURI: fukuzeni wale staff wanaokagua tiketi wale wote wezi tu. Ndio wanatupa CODE. Abiria ascan mwenyewe tiketi, Kama feki geti lisifunguke (KUINGIA (point of origin & KUTOKA-final destination). Hapo ndio mtaona pesa. Vinginevyo Dar-Dom mnasafirisha watu bure na kuwapa chai mule...

- and 998 others
- business class sgr
- Replies: 168
- Forum: Jukwaa la Siasa