Anajuta sasa hivi kwanini alileta hule uzi wa wazamiaji SGR business class

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Member mwamba and 998 others alipo anajuta kwa nini aliposti hule uzi wake wa kuzamia SGR business class kwa nauli ya Morogoro kwenda Dodoma.

Kwa mshangao hakuamini members walivyomshukia kama mwewe na kumshutumu. Nadhani alijuta kuposti.

Kwenye huo uzi nilijifunza bado kuna integrity na honesty kwa watanzania. Kwasababu wengi walichukizwa na hiyo tabia yake.


 
aliposti hule uzi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…