Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Hata angekua sio mune wa mtu bado angeambukizwa virusi vile vile.
Aende akapime sasa apate uhakika ili kama anao aanze kuishi kwa kuzingatia masharti.
Hivi ni kwanini watu wote mna assume kuwa huyo baba ndio atakuwa amemuambukiza huyu mama, mimi naona wote wameambukizana.. huyu dada anaweza kabisa kuwa ndio kamuambukiza huyu baba kwani yeye alikuwa hajaolewa... lakini all in all uzinzi haulipi... tuache.....