Hata angekua sio mune wa mtu bado angeambukizwa virusi vile vile.
Aende akapime sasa apate uhakika ili kama anao aanze kuishi kwa kuzingatia masharti.
hv unatembeaje na mtu hujui hiv status yake tena kwa ngono zembe enzi hz?
mimi ukinitaka angaza kwanza
ndo maana sina mpenzi maana tukipanga kwenda angaza huwa siwaoni tena
Hakuna binadamu asiye na kasoro hapa duniani, kama wewe sio mzinifu lkn una kasoro nyingine ambayo waifahamu wewe na Mungu wako. Usimnyooshee kidole huyo mzinifu aliyeombewa ushauri, je wewe ni mkamilifu kwa kila kitu hapa duniani??? :juggle:huwaga nawachukia sana tena sana wazinifu hvy ushauri wangu utamuweka pabaya bora nisimshauri
hv unatembeaje na mtu hujui hiv status yake tena kwa ngono zembe enzi hz?
mimi ukinitaka angaza kwanza
ndo maana sina mpenzi maana tukipanga kwenda angaza huwa siwaoni tena
Hakuna binadamu asiye na kasoro hapa duniani, kama wewe sio mzinifu lkn una kasoro nyingine ambayo waifahamu wewe na Mungu wako. Usimnyooshee kidole huyo mzinifu aliyeombewa ushauri, je wewe ni mkamilifu kwa kila kitu hapa duniani??? :juggle:
dada yetu akapime.. Huenda hata hajaambukizwa ugonjwa wenyewe..
uko huru kupenda unachokipenda namimi niko huru kuchukia ninachokichukia, nachukia uzinzi full stopHakuna binadamu asiye na kasoro hapa duniani, kama wewe sio mzinifu lkn una kasoro nyingine ambayo waifahamu wewe na Mungu wako. Usimnyooshee kidole huyo mzinifu aliyeombewa ushauri, je wewe ni mkamilifu kwa kila kitu hapa duniani??? :juggle: