Imeshatokea, lkn ukumbushe kuwa sio kina anayekutana kimwili na mwathirika basi naye ameshaathirika. bado kuna nafasi ya mtu kusalimika kama hakutakuwa na michubuko. nadhani uhakika zaidi aende akapime na kama ataambiwa akapime tena baada ya miezi 3 afanye hivyo lkn kwa sasa aache kukutana kimwili na huyo jamaa na mwingine yeyote kuzuia kuambukiza au kuambukizwa. by the way, hata kama ameshaambukizwa akaukubali ukweli, basi maisha yatakwenda mbele.
Nawasilisha hoja!!