labda nchi ipinduliwe , malipo kwa bondi ni uhakika mkuu.Aweke 200m treasury bonds za Serikali kwani Serikali haifilisiki l
Nakubalilabda nchi ipinduliwe , malipo kwa bondi ni uhakika mkuu.
Ndio nimejua leo wana kikokotoo na nimetoka kukitumia muda si mrefu.Mkuu nachofahamu kwa Treasury bills ambazo ni za muda mfupi, atachagua kulipwa baada ya siku ngapi zinakuwa au 35,91,182,364. Mfano hapo chini angeweka milioni 200 (kwa bei ya mnada uliopita) atakachopata kimeainishwa hapo kwenye (Net gain)
Kama ni Treasury Bonds ambazo ni kwa muda mrefu, kama angeweka milioni 200 ((kwa bei ya mnada uliopita) kiasi atakachopata kimeainishwa hapo kwenye (Total Gain)
Na mimi nitakutafuta mtani wanguKuna biashara nyingi zisizohitaji pressure na uwekezaji mkubwa ... Akiwekeza 50M tu ndani ya mwaka ana 50 nyingine.. Ni biashara ya kukusanya malighafi fulani na soko lake ni hakika
Sawa mtaniNa mimi nitakutafuta mtani wangu
Kermerter fursa twenzetu buana 😅😅😅😅Khee
Ndio tujuzane mkuu, kumbuka huyu rafiki hajui sana mambo ya biashara, yeye labda nlichoona kitamfaa ni kuweka hela na kusubiri mapato ya uhakika ndio nikamshauri hizo bondi maana hazina mambo mengi, nlitaka kumshauri kufungua gym ila bado nikaona huki anaweza kufeli
Ika mkuu tueleezane hio biashara
Ni biashara mpya kabisa halali ngoja niipange vema tutashirikishana hata kwa PMTaja basi mkuu inaweza kuwa ni fursa kwa wengine pia.
Duh shiling inazaa shiling mbona hiyo biashara nzuriKuna biashara nyingi zisizohitaji pressure na uwekezaji mkubwa ... Akiwekeza 50M tu ndani ya mwaka ana 50 nyingine.. Ni biashara ya kukusanya malighafi fulani na soko lake ni hakika
Akanunue bonds za serikali Kuna mnada mwezi October, Tena anunue ile ya miaka 25 ya interest rate kwa 15.94%
Aweke milion 200 tu atulize kichwa
200,000,000 x 15.94/100 = 31,000,000 Tsh kwa mwaka.
Utakuwa unapewa milion 31 kwa miaka 25. Na baada ya miaka 25 utarudishiwa Principal yako ya milion 200,000,000.
Nimekupata huu ushauri kwasababu anahitaji biashara yenye low risks kams hii.