Anakataa kufanya tendo, tatizo nini?

Anakataa kufanya tendo, tatizo nini?

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,102
Habari wanajamiiforums" nina mpenz wangu ninampenda sana, lakin ikifika wakati ninapotaka kula tunda huwa ni mkari na hubadilika hadi sura,muda mwingine huniruhusu lakin ninapojaribu kuinsert tu huruka na kubana mapaja, kiukwel huwa cpendi kutumia nguvu na kuamua kumuacha" bila kufanya ile mambo, please naombeni kwenu maujuzi juu ya suala hili,
 
unakuzuga

Ndugu,

Ni kweli kabisa. Wengine huwa wanataka ila wana aina furani ya aibu. Jaribu kumshawishi sana kabla ya kutaka kumuingilia alafu akionyesha kukubali jifanye umekata tamaa, utaona anajileta. Kumbuka, watu wa namna hiyo uwa wanasema furani nilinishindwa.
 
Usiwe na haraka, anza na maandalizi ya kutosha (fore play), baada ya maandalizi ya kutosha usiwe na papara kutaka ku-insert kama unavyosema. Piga ile kitu ya kule kwa akina Mganyizi na Rutashabanyuma kwa muda wa saa moja. Baada ya hapo atakuvutia ndani mwenyewewe kwa raha zake. Kama mpaka hapo hutofanikiwa, fahamu kuwa huyo ni mtoto, anaogopa. Lakini, kwa nini usitangaze ndoa, tukuchangie umwoe halafu uone kama ataendelea kukubania wakati ameegwa kwao ?
 
labda ana yale maradhi ya kisasa anaogopa kukupunguzia ndio maana ananyima......shtuka...au bado sealed??? Kama ni tatizo la kiufundi piga mafrenchy ya maana, magical touch, ikibidi nenda ukachimbe chumvi uvinza..... Zaidi ya hapo andaa ki-tarehe cha maana umueleze jinsi unavyohusudu kujiunga na brand ya apple yaani kuling'ata tunda.....
 
Habari wanajamiiforums" nina mpenz wangu ninampenda sana, lakin ikifika wakati ninapotaka kula tunda huwa ni mkari na hubadilika hadi sura,muda mwingine huniruhusu lakin ninapojaribu kuinsert tu huruka na kubana mapaja, kiukwel huwa cpendi kutumia nguvu na kuamua kumuacha" bila kufanya ile mambo, please naombeni kwenu maujuzi juu ya suala hili,

Sababu ziko nyingi, inawezekana huwa humuandai kabla, maana kama umemuandaa sawa sawa hiyo nguvu ya kukataa itatoka wapi, pia inawezekana hajawahi kufanya hiyo kitu so ana hofu what will happen after that, pengine mnakutana kwenye nyakati ambazo si nzuri kwake, au anahofu ya imani ya dini kushiriki hilo tendo kabla ya ndoa kwa kuhofu kumkosea Muumba wake nk.

Lakini cha msingi hapa ni kukaa naye chini na kungea naye yumkini kuna jambo nje ya haya tunayofikiria linalomsibu. Vunja ukimya kaka!
 
Kwahiyo mpaka sasa hujammega? nafikiri foreplay itakuwa haijakaa sawa.
 
Habari wanajamiiforums" nina mpenz wangu ninampenda sana, lakin ikifika wakati ninapotaka kula tunda huwa ni mkari na hubadilika hadi sura,muda mwingine huniruhusu lakin ninapojaribu kuinsert tu huruka na kubana mapaja, kiukwel huwa cpendi kutumia nguvu na kuamua kumuacha" bila kufanya ile mambo, please naombeni kwenu maujuzi juu ya suala hili,

Utakuwa unambaka wewe,hebu jaribu kumuandaa kwa mahanjamu motomoto,uone kama hajakudaka na kukung'ang'ania mwenyewe.
 
mmh hapo inaonekana utaishia kunawa tu...kula huli mpaka ndoa.
 
Habari wanajamiiforums" nina mpenz wangu ninampenda sana, lakin ikifika wakati ninapotaka kula tunda huwa ni mkari na hubadilika hadi sura,muda mwingine huniruhusu lakin ninapojaribu kuinsert tu huruka na kubana mapaja, kiukwel huwa cpendi kutumia nguvu na kuamua kumuacha" bila kufanya ile mambo, please naombeni kwenu maujuzi juu ya suala hili,

May be,hana chakufanyiwa.
 
Back
Top Bottom