Ahaaaa ahaaaa:lol::lol: yaani unazidi kunichekesha tu aisee tafadhali usinifanyie hivyo hivi haunionei huruma tu hali tulionayo hizo KUNG FU PANDA zinatosha l.o.l
Hivi unaanzaje kumkatalia mume kutoka jamani huyu dada ni mwehu, kweli maty amrudishe tu home akanywe chai
Wanawake wa design hii unamtongoza yeye sasa
Lengo kula na nduguyo tu. Utakuwa unamtoa out yeye badala ya mmewe.
Hiyo chai ataisikilizia kwenye kipindi cha mapishi.
Ni kavu kavu tu mpka saa tisa na tena mpaka kesho.
Mie nadhani ni zaidi ya mwehu kabisa kha?!!
Ahaaa ahaaa imagine narudi halafu unanifungia nalala sebuleni aisee huo ni uonevu ambao hata UNITED NATIONS haukubalikiHahahahahahahah
kum fu panda
Bado hazijakolea vizuri
ndo zinaanza..
take a dip breath,relax ,nakuja
Wanawake wa design hii unamtongoza yeye sasa
Lengo kula na nduguyo tu. Utakuwa unamtoa out yeye badala ya mmewe.
Mi nakupa appointment week end hii naomba tuwe bega kwa bega
Ni mihogo tu na samaki wakavu. unajua wanawake bana tukipendwa shida tukinyanyaswa shida
Tip top connection au? wiki hii umekula pilipili nyingi fidel umecharukaje??????
Pole yake sana mjamaa, Mara nyingi sana watu wenye matatizo kama hayo huwa hawashauriki, cause anakuwa ameshaathirika kisaikolojia.. Na ukifosi kumpa ushauri mtagombana utakuwa adui yake,ataona unataka kumgombanisha na kipenzi chake.. Dawa ni kumuacha hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho,, atachemsha tu, Au karogwa nn????
Saa nyingine unatakiwa ku makeHilo la kusafiri na kupeana likizo la muda linaweza kuwa sehemu ya ufumbuzi, lakini kutowacha matumizi..... tukumbuke kuwa wana mtoto. Si haki kwa huyu mtoto kuteseka kwa sababu ya migogoro ya wazazi wake.
:focus:Tatizo huyu jamaa laini sana, hawezi hata kukaa na kuzungumza na mkewake? Kama tu tungelikuwa na utamaduni wa kuongea matatizo yetu, "pros and contra", tungefika wakati tunachukua misimamo ya kati na kufikia maelewanao. Inavyoonesha huyu jamaa hawezi kufanya lolote, kwa hiyo hata kama ataenda kwa wazazi, washenga, atapata ushauri wa marafiki na wataalamu... ikiwa hatajinasua na mtindio wake wa maamuzi, hakuna litakalobadilika. Ni juu yake kushika hatamu.
Tip top connection au? wiki hii umekula pilipili nyingi fidel umecharukaje??????
Ahahahaaaaahh!! Fidel80 acha utani bana, mwanamke mwenyewe hata nikimsalimia salamu anaitikia kwa unyonge, nitaanzaje kumtongoza.
Msambaa........(sorry for this)