Anakatazwa kutoka ndani!!

Ahaaa ahaaa imagine narudi halafu unanifungia nalala sebuleni aisee huo ni uonevu ambao hata UNITED NATIONS haukubaliki

Haka
Sikuachii kirahisi hivyo
nataka mkate wangu wa kila siku
halafu ukalale kwenye kochi
Kesho na kazi....
hahaha lol

Hivi unadhani labda yule mwanamke anachakachua
nje na labda kampata mtu ambaye anafikiria ni bora
kuliko mumewe ndo maana ana jeuri.?
 
Kweli kabisa nadhani ni inferiority complex.................hivi elimu haiwezi kuwa imechangia maana mama mwenyewe ni darasa la saba.

Mkuu hapo umeongeza neno, to be honest shule ina effect kwenye mahusiano hasa gape linapoonekana wazi. Mama anajua mumewe atakutana na wanawake wasomi, wajanja nk. Tatizo linaanzia hapo changanya na ujeuri asilia.
 
Mshauri awaone wataalamu wa mahusiano.these days wapo wengi tuu hapa mjini.. generally hakuna anayejua mwenye kasoro nani kati ya mwanamke na mwanaume. suala la mahusiano ni tofauti sana na wengi tunavyolichukulia. waweza kumwona mwanamke mbaya kumbe kuna sababu, pia waweza sema labla mwanaume mbaya kumbe walaaaa... na pengine wote wanatatizo na yawezekana hakuna mwenye tatizo.. kikubwa ni kufahamiana,.... utashangaa lakini wengi waliopo kwenye ndoa hawafahamianiii...anayeweza kusaidia ni mshauri...
Msisitizo...kuna washauri feki..be careful!!!
 
Mkuu hapo umeongeza neno, to be honest shule ina effect kwenye mahusiano hasa gape linapoonekana wazi. Mama anajua mumewe atakutana na wanawake wasomi, wajanja nk. Tatizo linaanzia hapo changanya na ujeuri asilia.

Upo sawa kabisa, maana wakiwa pamoja akisalimiwa na mwanamke lazima aulizwe yule ni nani?.
 
Pia na viongozi wao wa kiroho si wanaweza kusaidia??
 
Tatizo wanaume wengi hawana mipaka ya mapenzi. Cku zote hata kama unampenda m'ke, weka love limit inasaidia sana. Wakati mwingine wanawake wanatikisa wakiona m'me anatulia anaendeleza, mwisho wa cku ndo yanatokea hayo. Baba unatakiwa uwe na ka-udictator ndani ya nyumba. Haiitaji hata kuomba ushauri, ni maamuzi tu. Tabia ya mtu ni kama rangi ya mtu, hata uibadilishe inarudi, na cku zote jasiri haachhi asili. Hapo hakuna cha kwenda kwa mshenga wala nini, ampige chini aanze life upya. Kama ana watoto ajipange kuwalea . Kwani ndoa ni nini? Kama nimeoa ndo aje anitese, ndoa gani hiyo kama sio upuuzi! Huyo bwana ageuke Gaddaf kwa muda herhima itakuja, we mtu mpaka unanyimwa kutoka nyumbani? Hiyo ni ndoa au jamaa yupo kieungoni "gerezani". Hayo sio maisha ila ni utumwa. Tafsiri yangu ni kwamba huyo mke hana heshima hata tone, ni mpuuzi na anamwonea huyo jamaa sana. Zaidi maana ya ndoa wala umuhimu wake haujui, anadhan kuwa yupo na ka-house boy kake. Usishangae kusikia hata unyumba ananyimwa wakati ni haki yao. Mpe pole jamaa yetu.
 
Katavi..! Mimi nina wasiwasi na huyo rafikiyo.
Mwanaume unawezaje kufungiwa ndani? Mtakula mawe? Anachohofia nini kumshikisha adabu?
Yeye ndiye anayelea hayo matatizo, mwanaume anatakiwa awe moto pindi kunapotokea upuuzi kama huo. Bila kuwa na uhusiano na watu vizuri, utaishi kwenye jamii ipi? Utasaidiwa na nani?

Mabadiliko yanatakiwa kwanza kwa huyo rafiki yako, then mkewe.(nionavyo mimi)
 

hee kunyimana pumzi huku jamani, huyu frnd wako anashindwa nn kutoka job na kuendelea na mambo yake mengine mpaka aende home ndio mpaka apewe ruhusa? c atoke job aunganishe na mambo yake juu kwa juu....ndoa bwana ni kuoteana tu, wengine wanasumbuliwa na wake, wengine wanasumbuliwa na waume...kingine ni kwamba huyu dada anaona raha gani mwanaume mzima kushinda nae hapo home kama hakuna ulazima? jamani kuna kujichanganya pia.
 
Huenda hata unyumba ananyimwa, maana hadi kufikia hatua ya kulazwa sebuleni..
 
Mmmh!!!!! Me simo.

Ndo maana wana wivu mm mmoja wa huko huko ana wivu balaa kuna siku kajidai ananipigia cmu kabadili line kampa dada mmoja aongee kwa niaba akajitambulisha anaitwa Recho akawa ananitongoza kuwa eti amenipenda sana nikamuuliza wewe Recho wa wapi? Akasema anaishi Tabata mm unanifahamu akadai ehee dah mtu mzima nikasema hili zali toka nizaliwe sijawahi tamkiwa hivi na mwanamke yaani anitongoze live live hivi any way tukaendelea kuchonga huyo Recho akawa anabana kweli kweli pua mtu mzima suruali ikabana nikamwambia poa tutawasiliana nipo kwenye tuk tuk nawahi Tipo top pale pale akadai huyo demu wangu Msambaa wache aniwakie akanipiga kibuti hapo hapo mm nikasema powa haina shobo na mm nakata kamba ya misaada tuone mjini hapa utaishije kwani wiki iliisha akaanza kujirudi anaomba msamaha nimsamehe ulikuwa wivu tu na mm nikaweka ngumu mpaka kesho anazidi kupauka tu mjini.
 

Upo sawa kabisa, lakini huyu ndugu yangu yeye kawa tofauti kila anachoambiwa na mkewe ni kukubali tu.
 
Huyu mwanamke anasumbuliwa na INFERIORITY COMPLEX
 

sawa kabisa....huyu dada amevuka mipaka sasa, yaani anataka kumbinafsisha kaka wa watu na mkaka nae kashalegea...akipata shida huyu kaka huyo mama atamkimbilia nani kama kila mtu kwake mbaya?
 
Nyamayao za siku u buheri wa afya..
 
Muda wa kutoka kazini unajulikana, na anajua muda ambao jamaa anafika nyumbani kila siku, akichelewa kidogo tu lazima apigiwe simu kuulizwa yupo wapi na yupo na nani.
 

Ahahahahahaaaaahhh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…