Tatizo wanaume wengi hawana mipaka ya mapenzi. Cku zote hata kama unampenda m'ke, weka love limit inasaidia sana. Wakati mwingine wanawake wanatikisa wakiona m'me anatulia anaendeleza, mwisho wa cku ndo yanatokea hayo. Baba unatakiwa uwe na ka-udictator ndani ya nyumba. Haiitaji hata kuomba ushauri, ni maamuzi tu. Tabia ya mtu ni kama rangi ya mtu, hata uibadilishe inarudi, na cku zote jasiri haachhi asili. Hapo hakuna cha kwenda kwa mshenga wala nini, ampige chini aanze life upya. Kama ana watoto ajipange kuwalea . Kwani ndoa ni nini? Kama nimeoa ndo aje anitese, ndoa gani hiyo kama sio upuuzi! Huyo bwana ageuke Gaddaf kwa muda herhima itakuja, we mtu mpaka unanyimwa kutoka nyumbani? Hiyo ni ndoa au jamaa yupo kieungoni "gerezani". Hayo sio maisha ila ni utumwa. Tafsiri yangu ni kwamba huyo mke hana heshima hata tone, ni mpuuzi na anamwonea huyo jamaa sana. Zaidi maana ya ndoa wala umuhimu wake haujui, anadhan kuwa yupo na ka-house boy kake. Usishangae kusikia hata unyumba ananyimwa wakati ni haki yao. Mpe pole jamaa yetu.