sawa kabisa....huyu dada amevuka mipaka sasa, yaani anataka kumbinafsisha kaka wa watu na mkaka nae kashalegea...akipata shida huyu kaka huyo mama atamkimbilia nani kama kila mtu kwake mbaya?
Upo sawa kabisa, lakini huyu ndugu yangu yeye kawa tofauti kila anachoambiwa na mkewe ni kukubali tu.
Mwambie kuchamba kwingi ni kushika m*vi,unaona sasa jamaa kashaanza kushtuka, sababu ya kutojiamini kwake atampoteza bure huyo my husband wake.Nadhani hajiamini labda kwa kuwa ni mama wa nyumbani!
Muda wa kutoka kazini unajulikana, na anajua muda ambao jamaa anafika nyumbani kila siku, akichelewa kidogo tu lazima apigiwe simu kuulizwa yupo wapi na yupo na nani.
Ndo maana wana wivu mm mmoja wa huko huko ana wivu balaa kuna siku kajidai ananipigia cmu kabadili line kampa dada mmoja aongee kwa niaba akajitambulisha anaitwa Recho akawa ananitongoza kuwa eti amenipenda sana nikamuuliza wewe Recho wa wapi? Akasema anaishi Tabata mm unanifahamu akadai ehee dah mtu mzima nikasema hili zali toka nizaliwe sijawahi tamkiwa hivi na mwanamke yaani anitongoze live live hivi any way tukaendelea kuchonga huyo Recho akawa anabana kweli kweli pua mtu mzima suruali ikabana nikamwambia poa tutawasiliana nipo kwenye tuk tuk nawahi Tipo top pale pale akadai huyo demu wangu Msambaa wache aniwakie akanipiga kibuti hapo hapo mm nikasema powa haina shobo na mm nakata kamba ya misaada tuone mjini hapa utaishije kwani wiki iliisha akaanza kujirudi anaomba msamaha nimsamehe ulikuwa wivu tu na mm nikaweka ngumu mpaka kesho anazidi kupauka tu mjini.
sasa watawasaidia nn hapo? ni ishu ndogo tu ya huyo frnd wako kubadilika/kuwa na mcmamo fullstop!
Halafu ukizingatia na wazazi wa huyu binti waliishamwambia huyu jamaa kuwa binti yao ni jeuri pindi akileta za kuleta amshikishe adabu sasa sijui kwanini jamaa anakuwa muoga na mpole kiasi hicho mpaka mwanamke amempanda kichwani anywayz haya mambo ya ndani ya nyumba huwezi kujua ni kitu gani hasa kilichopo humo natamani sana huyo hausigeli angeongea maana atakuwa anajua mambo mengi sana yanayotendeka humo ndaniHaka
Sikuachii kirahisi hivyo
nataka mkate wangu wa kila siku
halafu ukalale kwenye kochi
Kesho na kazi....
hahaha lol
Hivi unadhani labda yule mwanamke anachakachua
nje na labda kampata mtu ambaye anafikiria ni bora
kuliko mumewe ndo maana ana jeuri.?
Kumbuka wivu ni nature na nature huwezi uka icontrol so dada yupo sahihi.
Nahitaji kupoozwa na mtu kama wewe p'se mwone D.A kwa contacts.
Angalau leo ana afadhali jana ilikuwa sijui ni pilipili kichaa au nini maana nilibaki mdomo wazi mwenzio
natamani huyu dada nimpe huyu kichwa maji wangu, cku mbili tu atanirudishia.....sasa kupigiwa cm ishu?....c inaitaga weeee mpaka bac! mwambie rafiki yako aache upuuzi.
Samaki hapati ni mihogo na kisamvu. Huyu mama bana sijui yukoje hajafundwa huyu kha??!!!
Aku ukanifidq goti yangu maana jana ulivyoshabikia??? halafu kwa nini nimtafute DA na wakati wewe upo, au na wewe domo zito?
huu nao wivu ujinga?...unipitie mbali mie.
Kuna weekend moja tulienda na jamaa kumsalimia rafiki yetu mmoja alikuwa mgonjwa, bahati mbaya tulichelewa kurudi kutokana na tatizo la usafiri. Yaani ilikuwa ni kero kila baada ya muda jamaa anapigiwa simu......uko wapi......uko na nani.....mpe simu niongee nae........dah!! wivu wa namna hii umepitiliza..
Kaza mdomo huo unaanzishiwa kila kitu au mazungmzo tuMi kuongea siwezi mpaka mtu anianzishie mm ndo niendeleze.
Ya jana yaache leo si siku nyingine mama? Mbona wakumbushia yaliyo pita tugange yajayo.
Kaza mdomo huo unaanzishiwa kila kitu au mazungmzo tu
Kuna wanaume wengine kwa wake zao kama majibwa koko hawafurukuti anaweza kudwa hivi hivi mbele za watu na akanywea.
Kuna siku nililikuwa nakunywa sebuleni na jamaa mmoja wa pale pale kitaa sasa jamaa story zimenoga mke wake akawa anamuhitaji nyumbani alikubwa amebanwa na hamu akatuma mtoto mara kwanza jamaa akasema nakuja baada ya dk.5 akarudi tena mtoto jamaa akasema nakuja zikapita dk.10 mama yule akaongozana na mtoto huku yeye akawa amejificha gizani akamwambia kamwite mtoto akaenda jamaa akasema mwambie nakuja yule mama akatoka huko gizani mpaka kwa jamaa akachukua bilauri ya kilaji akamwaga akamwambia nimekwambia nyumbani jamaa akawa mpole wkt pale pale alikuwa anapiga story jamaa ake anavyo nyanyaswa na mke wake basi jamaa huyoo akainuka kama kondoo. Mi nilicheka mpaka nikaharibu beer zangu kwa kucheua dah.

haaii..ckujua kama ukicheua beer inaharibika hii mpya kweli, una vituko wewe cjui y humpati mwanamke kama wa jamaa hapa ndio anakufaa huyu.