Anakoelekea Eric omondi sio kabisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Mmh sanaa hizi zitaua watu,pesa inatafutwa kwa mbinu zote. Eric omond ndani ya style ya Joti full make up na mavazi ya kike
 
Huyu jamaa kuchekesha ni zero kabisa.
 
Mmh sanaa hizi zitaua watu,pesa inatafutwa kwa mbinu zote. Eric omond ndani ya style ya Joti full make up na mavazi ya kikeView attachment 516754
Wakati wewe unasikitika mwenzako anacheka na kufurahia lengo lake limetimia na akaunti inanenepa tu.....Kuna muda hutakiwi kuumiza sana kichwa kwa watu wanaojiita 'comedian'.
 
Nikimaliza kufunga nitafanya mpango nimtafute nione kamm kweli ann zigo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…