Anakoelekea Eric omondi sio kabisa

Anakoelekea Eric omondi sio kabisa

It's a talent for money, that's why you can't manage even a single minute!
 
329a64a67c48ae7e2d7bc45563732722.jpg
huyu je?
4e2dd93a5fd965ffd6613414dce0fc30.jpg
ni mwanamume lakini that's his trademark..
 
Simu yangu ilinionesha picha nusu kama hivi
Screenshot_2017-05-30-23-17-29.png

Nikaanza kujenga picha sura ya huyu mrembo itakuaje

Nilichokikuta sasa....
 
Hata marekani ilianza kama utani bhana. Kumbeeeee. Kuna wafadhili nyuma ya pazia wanasukuma hii kitu ikae kene TV
 
kwan ni mwanaume huyo, au device yangu inanizingua
[emoji32][emoji32]
 
mambo ya ajabu haya khaaa! bora uzae watoto wa kike tu wakuletee wajukuu ila siyo hii fedhea ya midume...
 
Back
Top Bottom