Mzee WA Jaza ujazwe....
Huyu je?
Hqhahahah huyo ndio eric omond bhana ukiifuatilia hii utakuta anakuambia how to be huddah or how to be vera sidikaMmh sanaa hizi zitaua watu,pesa inatafutwa kwa mbinu zote. Eric omond ndani ya style ya Joti full make up na mavazi ya kikeView attachment 516754
Tuseme analipwa/halipwi itakusaidia nini!?Mkuu wewe unalipwa!?
Mombasa si iko Kenya na Yeye Eric Omondi si yuko Kenya?........anachotafuta atakipata tuu siku si nyingi.Mmh sanaa hizi zitaua watu,pesa inatafutwa kwa mbinu zote. Eric omond ndani ya style ya Joti full make up na mavazi ya kikeView attachment 516754
We imekusaidia nn?Tuseme analipwa/halipwi itakusaidia nini!?