Anakoelekea Joyce Kiria na shosti yake Mange Kimambi siko sasa

Anakoelekea Joyce Kiria na shosti yake Mange Kimambi siko sasa

kipusatembo

Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
88
Reaction score
29
Sipendagi saaana kuingilia mambo za watu ila kwa hili binafsi limenigusa wacha niseme kidoogo.

Katika pita pita zangu mtandaoni ndo nikakutana na link hii wanawakelivetv.com/wanawake-wanaopanda-mlima-lakini-hawajawahi-kufika-juu-ya-mlima-zameni-humu-fasta kwenye site ya wanawake live honestly mimi binafsi haijanibariki na naona inachochea mambo ya KIPUUZI.

Vile tulivopiga vita U DAVID CAMERON na sera za KiOBAMA vivyo hivyo tupige vita upuuzi huu wa JOYCE KIRIA na mwenzie MANGE KIMAMBI.

Sikatai hizi mambo watu wanafanya ila si kwa kuexpose na kwa kujishebedua kihivo.

Wanafundisha nini watu sasa.

Shame on you Joyce na yo friend Mange.
 
ulienda tafuta nini huko ww na akili zako? Huko kwa watoto wadogo wa mujini.
 
Huna kazi ya kufanya??????????
Acha wanaotaka kufika pepo ya 7 wanunue hiyo product raha jipe mwnyw!!
 
Sasa mbona uoneshi alipo kosea? Kupanda mlima kuna uhusiano gani na huo unao taka tuamini ni ucameroon?

Sasa kwanini tusiamini umeweka tafsiri yako? Hebu weka vyema hii habari yako!
 
Sasa mbona uoneshi alipo kosea? Kupanda mlima kuna uhusiano gani na huo unao taka tuamini ni ucameroon?

Sasa kwanini tusiamini umeweka tafsiri yako? Hivi weka vyema hii habari yako!

Vp kibonde amemaliza ku act tangazo? Sijawah ona muhaya pimbi kama wewe unless unatumia mtu jina lkn mgogo
 
nikikutajia blogs zingine uingie sijui utasemaje, ila nahisi una bifu binafsi na hao watu, wache watu wapande milima yao wafike vilele wajionee tofauti, si kila siku wanaishia kwenye vichuguu tu.
 
Ndio muwaridhishe wake zenu ili wasinunue vifanyio(vimassage) kwa mange na wasipost kwa joyce kuomba ushauri jinsi gani atafikishwa
 
Zimeletwa kwenu.kwa hisani ya watu wa marekani......
 

Attachments

  • 1407783770802.jpg
    1407783770802.jpg
    89.2 KB · Views: 1,474
  • 1407783785700.jpg
    1407783785700.jpg
    59.1 KB · Views: 1,370
Mi nimefurahi...labda watatuwachia waume zetu lol...maana wana pa kupunguzia genye...

Maan tushaambiwa wanaume wachache...kama si kubanana basi matoy yanahusu...


Ndio muwaridhishe wake zenu ili wasinunue vifanyio(vimassage) kwa mange na wasipost kwa joyce kuomba ushauri jinsi gani atafikishwa
 
vifanyio ndo habar ya mujini kwa sasa....soko la dushe hatarini kufa....hee hee asante wazungu kwa ubunifu mujarabu
 
Ina maana Joyce naye anaitumia Dildo? Ina maana Henry Kilewo (mumewe) hamfikishi panapotakiwa?
 
Zimeletwa kwenu.kwa hisani ya watu wa marekani......

Safi, ujasiriamali bana, tatizo anawapiga saundi sana, hayo madude siyo ya leo wala jana, eti hataki hata kuyataja jina watu watamwiga biashara...lol! Hizo ni Magic Wand zinatengenezwa na kampuni ya Hitachi toka miaka ya tisini kama skosei, kasi yake hasa mahususi ni massage, sema wanawake wakagundua wakifanyia massage kwenye ksm inawasisimua, baasi ndiyo zikawa zishageuzwa matumizi, zipo amazon ni kama $50, yeye anauza $140 kwa hiyo ukitoa nauli hapo anabakiwa na kama $50, maisha yanaendelea!
 
Back
Top Bottom