kipusatembo
Member
- Jun 19, 2014
- 88
- 29
Sipendagi saaana kuingilia mambo za watu ila kwa hili binafsi limenigusa wacha niseme kidoogo.
Katika pita pita zangu mtandaoni ndo nikakutana na link hii wanawakelivetv.com/wanawake-wanaopanda-mlima-lakini-hawajawahi-kufika-juu-ya-mlima-zameni-humu-fasta kwenye site ya wanawake live honestly mimi binafsi haijanibariki na naona inachochea mambo ya KIPUUZI.
Vile tulivopiga vita U DAVID CAMERON na sera za KiOBAMA vivyo hivyo tupige vita upuuzi huu wa JOYCE KIRIA na mwenzie MANGE KIMAMBI.
Sikatai hizi mambo watu wanafanya ila si kwa kuexpose na kwa kujishebedua kihivo.
Wanafundisha nini watu sasa.
Shame on you Joyce na yo friend Mange.